Kwa kuwa kundi la kijamii la kiislam linashinikiza kuweka kipengele cha dini kwenye sensa la sivyo watasusia basi hata makundi mengine kama makabila nayo yapewe haki hiyo sio waislam tu.
Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.
Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula...
Former Botswana President Festus Mogae. MTOKOZISI DUBE|AFRICA REVIEW |
By MTOKOZISI DUBE in GaboronePosted Friday, June 15 2012 at 16:29
Former Botswana President Festus Mogae has defended his...
Habari wakuu,
leo nimeshuhidia tukio la kutisha na kusikitisha ambapo mtoto mwenye umri upatao miaka sita hivi amedakwa na simba wakati akiwa zoo.
inaonekana mtoto huyo alipenya kwenye fensi...
Mimi nilikua nafuatilia kwa makini sana, nikajawa na mawazo ya kijinga mengi sana likiwemo la kuombea bajeti ya nchi yangu iingie kwenye maajabu ya dunia huenda ikasaidia kuinua uchumi!
Maajabu...
ABOUT REGINALD MENGI.
Early Life
Chartered accountant by training, Reginald Mengi created the IPP business conglomerate in the mid-1980s after serving as Chairman and Managing Partner of...
kwa hali ya kawaida soda na juisi ni vinywaji vinavyotumika kwenye sherehe mbalimbali, pia vinywaji hivi utumiwa na wengi kuwapa wageni
sasa nashindwa kuelewa kwanini mikutano au warsha za...
Wana JF,
Taarifa za uhakika ambazo nimezipata hivi sasa kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mhariri wa Rai Masyaga Matinyi amekamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh. M 1.8, Matinyi...
Nimekuwa nikisikilize hiki kituo kwa muda sasa na kitu nilichogudua ni kwamba sio management yake wala wafanyakazi wengine wote hawako na nia ya kitufikirisha kuhusu maswala makubwa yenye maslahi...
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya...
Je, Ni uhaba wa wataalam au ndiyo mazoea ya kupenda vya bure au rushwa!!?
Tembelea website na blog za Bongo, ziwe za serikali, mashirika makubwa au za watu binafsi utashuhudia mwenyewe...
habari wanajamvi. hivi zile habari za kutujengea barabara tano,tano juu na chini zimeishia wapi, wale wa Kigoma vipi ule uwanja waliouhaidi magamba ushaanza kufyekwa?Wakazi wa Dar es salaam(hasa...
Honestly mimi sio mchumi kiviile japo nilisoma Micro na Macro economics wakati nachukua kadegree kangu ka kwanza hivyo siwezi kujigamba na uchumi wangu mbele ya wachumi.
Naomba wajuzi wa...
Kuna taarifa kuwa kuna ajali imetokea Makutano ya Tabata relini. Roli la mizigo limegonga daladala ya Ubungo Tabata watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa. Dereva wa Roli inasemekana...
ni chama gani cha upinzani barani africa kilishika madaraka kutoka chama tawala,na kikawa bora zaidi na kuleta mabadiliko??!!!(kwa kupitia uchaguzi)
kwa mtazamo wangu mbwembwe huwa nyingi...
Nimekuwa nikifatilia maisha ya watoto waishio mitaani kwa muda mrefu sasa na kujikuta nikijiuliza maswali mengi ambayo kwa nyakati tofauti nimekuwa nikikosa majibu juu ya hawa watoto na serikali...
Every time people are talking badly about this. Its highly due to the loss of time for passangers who tend to cross the place.
Does it mean that the MP-Mzee wa Kiraracha didn't see this? Then who...
Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza...
MABERE MARANDO na WILFRED LWAKATARE wa CHADEMA wako wapi? mbona wamekuwa kimya sana au ndo miongoni mwa wana-CDM waliopelekwa ujerumani na uingereza kupata mafunzo ya kiintelijensia?