Nitawashtaki tigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitawashtaki tigo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmary, Jun 15, 2012.

 1. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Mimi ni mwanaume mwenye familia yangu. Hivi ni haki tigo kunitumia msg hii.

  Tuma UJAUZITO kwenda 15519 na upate dondoo nyingi za ujauzito ikiwemo ushauri, afya bora ya mama na mtoto, vyakula, malezi na mengineyo kwa Tsh.125/SMS
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  Tuma kwanza sms upate ushahidi kamili...
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sijui wamekuonaje?tuwashitaki bana.
   
 4. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Sasa nikituma nitakua nimeshakubali mimi ni mjamzito
   
 5. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hauna kitambi?
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,848
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wala hakuna haja yakuwashitaki ila wanakusaidia kujua vip mkeo aishi wakati wa ujauzita kwa usalama wake na mtoto wako aliyetumboni.
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Hamia Airtel!
   
 8. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  kwan ye kasema wenye vitambi au wajawazito,elewa kitambi c ujauzito bana.
   
 9. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Kitambi sina na hata ningekua nacho sio mimba
   
 10. King2

  King2 JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  TIGO NJAA ZITAWAUA MI MWENYEWE WAMENIKATA SALIO LAnGU KWA HUDUMA AMBAYO SIJAWAHI KUOMBA WALA KUTUMIA.
   
 11. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 10,782
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  watajitetea kua number za simu hazijakaa kijinsia zaidi...so hawawezi jua kua hii number ni ya ke au me..na sytem yao haiko katika mfumo wa kuidentify gender
   
 12. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duh! hii kali aisee pole..
   
 13. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu kwa matusi hayo uliyopata. Kuwa mjanja na Vodacom. Umetumiwa hiyo kwani wewe sio mjanja.
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna msela wangu nae katumiwa taka taka hiyo na hao wanaojiita tiGO.

  tiGO ndio maana ikapewa jina la makalio kwenye mambo haya haya ya kishamba. Utawatumiaje msg watu ambao hata hawahusiki nazo....

  Je, hao tigo hawajaona jina la mtu kwenye system zao i hope namba nyingi zimesajiliwa na wanafahamu kwamba **** MALE and FEMALE sasa iweje watume upuuzi wao huo kwa wanaume?
   
 15. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Nini maana ya kusajili namba kama wanashindwa kumgundua Me na Fe. alafu kwani TCRA wameshindwa kudhibiti makampuni ya simu kuwatumia wateja msg ambazo hawakuomba kujiunga nazo
   
 16. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Mitandao yote ya kibongo haina viwango
   
 17. mmary

  mmary JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 80
  Duh; tiGO= Makalio
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,150
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nami walinitumia msg ya kuingizwa kwenye huduma ya caller tune nikawapigia customer care wanitoe na pesa yangu warudishe!
   
 19. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Pole sana mkuu.Unajua nn?UMEKOPLIKEIT Mkuu,take easy.HAWAMAHANISHI?au ndo ukweli unauma?am jokg
   
 20. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda mpaka mwenye kitambi wanamchukulia ni mjazito!
   
Loading...