Serikali iweke kipengele cha kabila kwenye dodosa za sensa.

Michael Mwakyusa

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
306
55
Kwa kuwa kundi la kijamii la kiislam linashinikiza kuweka kipengele cha dini kwenye sensa la sivyo watasusia basi hata makundi mengine kama makabila nayo yapewe haki hiyo sio waislam tu.
 
Na kipengele cha wavuta bangi na walevi.....si unajua nchi yetu inategemea kodi ya pombe
 
Jiandae uende disco kesho asubuhi na mapema! Ngoma kali na pombe kidogo utapata usijali kwakuwa hiyo nikawaida.
 
Back
Top Bottom