Mtoto anusulika kuliwa na Simba bahari zoo Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto anusulika kuliwa na Simba bahari zoo Dar es Salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukansola, Jun 9, 2012.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari wakuu,
  leo nimeshuhidia tukio la kutisha na kusikitisha ambapo mtoto mwenye umri upatao miaka sita hivi amedakwa na simba wakati akiwa zoo.

  inaonekana mtoto huyo alipenya kwenye fensi ndogo na kujikuta akiwa karibu kabisa na fensi kubwa yenye matundu makubwa na hatimaye kudakwa. kilichofuata hapo ni sisi kuanza kuwashambulia simba hao kwa mawe na hatimaye walimuachia mtoto huyo huku uso ukiwa umejaa damu na nyama za mapaja zikiwa zinaning'inia.

  SOURCE: mimi mwenyewe, ninaishi karibu kabisa na eneo hilo.

  Simba hao hapo pichani ndio waliotaka kukatisha maisha ya kiumbe huyo, sikuweza kupata picha ya tukio hilo kutokana na mshituko niliokuwa nao (lakini picha hii imepigwa mara baada ya tukio). Mama mtoto alizimia kwa muda, mtoto amechukuliwa kupelekwa hospitali.
   

  Attached Files:

 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafanya promo ya hiyo zoo au? Mbona picha ya huyo mtoto hakuna wakati umeshuhudia tukio zima?
   
 3. m

  mboghambi Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi huyo amepenya wapi hapo?
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ungetupia na picha ya mtoto ingekuwa poa sana!

  Na ulivyomtazama mtoto kwa haraka haraka atapona?
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  King Kong hata ningefanya promo isingekuwa kwa mtindo huu, muda ambao ningetumia kupiga picha ndio niliotumia kumuokoa mtoto huyo nikiwa na watu wengine kama wawili au watatu.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Mtoto ameumia zaidi mapaja (kama nilivyosema nyama zilikuwa zinaning'inia na usoni kuna damu nyingi maana walimshika uso kwa hiyo kuna michubuko ya kucha za simba usoni kwake. lakini naona atapona.
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya watu kupata elimu ya namna ya kutembelea hizo Zoo, sasa huyo mama alikuwa mjinga kiasi gani hata asimwangalie mtoto wake anafanya nini? NIngekuwepo ningemkata vibao mamake wa huyo mtoto.
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mtoto alikuwa kwa nje ya fensi unayoiona pichani simba walikuwa wakijaribu kumvuta ndani, na kwa kweli tumefanya kazi ya ziada mpaka mtoto huyo kuachiwa maana pamoja na kutumia mawe mawe mazito kuwapiga simba hao ilichukuwa muda kidogo mpka kumuachia mtoto huyo.
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Nina wasiwasi na wewe kutaka hiyo Zoo isitembelewe na watu waogope kupeleka watoto wao! tuoneshe picha maana umeshamaliza kupigana na Simba, vinginevo nitakuona wewe ni mzushi!
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280

  mkuu hayo matundu yanatosha kupita mtoto
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hao simba hawana hata damu!!!! Du!!! Anyway PICHA ILIPIGWA KABLA. YA TUKIO
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Lukansola,

  Anusurika sio "anusulika"
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hao simba wenyewe wanaonekana wana njaa kwelikweli. Huyo mwenye zoo anawapatia chakula cha kutosha kweli!
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Umesomeka Kamanda! Ila ungeweka picha ya mtoto ingeboresha thread hii.
   
 15. c

  chakarikamkopo Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lukansola,
  Asante kwa taarifa, pole kwa kushuhudia tukio la kusikitisha, asante kwa kuokoa maisha ya mtoto. Wanaotaka picha ni maajenti wa ibilisi walitaka ikutokee kama ile ya Mohamed Amin? wakati ule Ethiopia
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  that is the news babaa, you can either take it or f**k it. kwa hiyo ningeacha kumuokoa mtoto ili kukuletea picha wewe?
   
 17. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  picha imepigwa mara baada ya tukio.
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mtoto alisogea karibu kiasi cha simba kuweza kumdaka kupitia matundu hayo, mtoto alikuwa nje simba ndani.
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  dah pole yake huyo mtoto..mimi nachukulia kama bahati mbaya tuu..
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  asante chakarikamkopo, kweli hii ni contradiction, (when does the news become news)
   
Loading...