Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula anawalinda Viongozi wabovu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula anawalinda Viongozi wabovu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bigbig, Jun 21, 2012.

 1. B

  Bigbig New Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kushangaza Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula ameshindwa kuchukua maamuzi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma katika Shirika la ukaguzi wa vyama vya ushirika. Mkurugenzi mkuu wa shirika hili amekuwa akilifanya shirika hili ni mali yake. Katika taarifa ya habari ya TBC walielezea jinsi ambavyo wakurugenzi wa Shirika walivyojiuzia magari yaliyonunuliwa mwaka 2004 eti ni chakavu, ilihali wameacha kanda za ukaguzi wa shirika hilo bila magari hayo.
  Vyama vya ushirika havikaguliwi kwa sababu ya Mkurugenzi huyu kuwa na muono wa kuliendesha shirika hilo. Baada ya baraza kumperekea tuhuma hizi Waziri amekaa kimya na huku tuhuma hizi zikiwa mezani kwake.
   
Loading...