Mtoto wa miaka minne amuua baba yake kwa kutonunuliwa PlayStation

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Mmh, jamani mara nyingine wazazi tuwe waangalifu na hawa watoto wa siku hizi.

Toddler Kills Dad Over PlayStation

An angry four-year-old Saudi boy shot and killed his father for refusing to buy him a PlayStation, Saudi media reported on Monday. The Asharq daily, citing police in the southern Jizan area, said the child, aged four years and seven months, grabbed his father's pistol and shot him in the head.
According to the newspaper, the child had asked his father to buy him a PlayStation and the shooting took place after the man returned home without the desired object. As he was undressing, the man put the weapon down, which the child then grabbed and fired at him from close range.
 
hii habari ina zaidi ya miezi miwili ila leo naiyona hapa,unaposema "Saudi media reported on Monday."unakusudia monday ipi??!!!ni habari ya mda sana.
watoto kupinda wamepinda kwa mchango mkubwa sana wa wazazi!!
 
hapo unaweza kuta baba alijiona hahari sana kumfundisha mwanae jinsi ya ku-shoot. kwa kawaida kuna kile kifaa wanaina usalama, inaama mtoto alijua jinsi ya kutumia.

Hizi ndizo kazi na akili za mwaraabu kazi kwenu zenj.
 
ngoja niongeze solex kwenye kabati, dogo asije akainyaka Beretta 92FS yangu
 
Huyo mtoto wa mwangalie kwa jicho la uangalifu vinginevyo atajiunga na Al Shabab au UAMSHO
 
kuwaa watoto kuangalia TV na movies zinazoonyesha ukatili ni mbaya sana umri kwanzia miaka 3 mpaka 5 watoto wanashika sana mambo tofautitofauti tujitahidi kutowakuza sana kabla ya mda wao kwa kuwaonyesha vitu vikubwa cartoon zipo kwasababu.
 
lakini waarab nao ni funny na mibunduki......

ndo kilichomwondoa gadaff, wao na mabunduki hawaachani. Wako tayari kwa shari mda wote, na ni roho za kiuaji kila saa. Mungu atawainua siku moja, wamjue mungu wa kweli
 
Back
Top Bottom