Majambazi wavamia hoteli ya kitalii na kuuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi wavamia hoteli ya kitalii na kuuwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jun 21, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 955
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni tukio lililotokea jana usiku saa 5 kwenye hoteli ya kitalii ya Moivaro iliyopo wilayani Serengeti ndani ya eneo la kijiji cha Robanda mita mia sita kaskazini toka lilipo geti la kuingia hifadhi ya Serengeti.Kati ya watu wawili waliouwawa ni mgeni mmoja raia wa Uholanzi na meneja msaidizi wa camp hiyo mwenyeji wa Mto wa mbu.
  Source mdau wangu anayefanya kazi kambini hapo.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  poleni sana, MUNGU awape ujasiri zaidi
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Watz baada ya kusubiri maisha bora waliyoahidiwa na ccm na kutoyaona, wameanza kuyatafuta kwa kufanya uhalifu kama huu. Poleni sana wafiwa.
   
Loading...