Mko Pamoja, Mna Umoja au mko pamoja na umoja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mko Pamoja, Mna Umoja au mko pamoja na umoja?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Majora, Jun 21, 2012.

 1. M

  Majora New Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwamba vitu vingi vinaweza kutukusanya pamoja, kama vile ndoa, harusi, misiba, mikutano, ibada, ugomvi, mashauri; nakadhalika. Lakini kuwa pamoja haimaanishi kuwa mnao umoja.

  Ukweli ni kwamba Umoja wa kweli hauletwi na taratibu za kibinadamu hata kama ni nzuri sana. Zinaweza kutufanya tuwe pamoja, lakini haziwezi kutufanya tuwe na umoja.

  Unakubaliana na hilo? Je, katika mazingira yako uishiyo, hali ikoje?
   
Loading...