Msaada wa kiufundi kuhusu N.G.O

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Habar wadau,,naomba nipate msaada wa kiufundi kuhusu N,G.O,mim na wadau wenzangu tumeamua kuanzisha asasi isiyo ya kiserikali ambayo dhumuni lake ni kulenga katika kuwasaidia vijana juu ya kuepukana matumizi ya madawa ya kulevya kupitia mashuleni na mitaani,pia masuala mbalimbali ya kijamii kama vile kuwa na tabia za kujisomea kwa ku-innitiate MOBILE LIBRARIES maeno yasiyo na huduma hizo especially vijijin,
issue ni kwamba bado tuna tatizo la fund resources(grants providers),na skills za kuandaa attractive grants,,,ukiwa kama mdau tunaomba sana utupatie some skills kuhusiana na mambo hayo,kwa kututumia materials mbalimbali yahusuyo hayo nilo yaeleza,au uka-share nasi hapa,na wengine nao wapate fursa,kama utaweza basi tunaomba ututumie kwa
bajabiri@gmail.com
aksante
 
Back
Top Bottom