BREAKING NEWS TCU yaibiwa vifaa muhimu kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu: USALAMA wa Taifa hatarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BREAKING NEWS TCU yaibiwa vifaa muhimu kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu: USALAMA wa Taifa hatarini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Jun 25, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumevamiwa, walinzi wakutwa hoi wamelala, computer, na vitunzia kumbukumbu vya rasilimali watu wa Tanzania vya yeya je huu ni ujasusi au ni wizi wa kawaida?? Usalama wa taifa jumlisheni vizuri hili sio jambo dogo.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kila mara wana JF wameshazungumza hapa kwamba hatuna Usalama wa Taifa nchi yetu iko uchi mno ,sijui tutapona kweli naogopa kufa bila kichwa na mikono jamani
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  wameibiana hao hao wenyewe kuna mambo wanayaficha . ndio ccm yenu hio wala msiumize vichwa
   
 4. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  assumptions
  1. Mchezo wa ndani friendly fire
  2. Hujuma ili kuchelewesha udahili wa wanafunzi kutokana na kutokuwa na hela za mikopo
  3. Maadui kutoka nchi jirani au mashirika ya kijasusi
  4. wezi wa kawaida
  5.hujuma kutoka kwa watu waliofodge vyeti
  6. Hujuma kutoka UAMSHO
  7.Hujuma dhidi ya uongozi wa kikwete
  8.Hujuma dhidi ya uongozi wa TCU
  9.Hujuma kutoka kwenye vyuo visivyosajiliwa
  10.Ufisadi

  Katika hizo assumptions moja ndio kweli sasa anzeni kuprioritize
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  dhaifus
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Uzi bado hauna nyama ya kuita Breaking News, hebu dadavua ilikuwaje kuwaje mpaka hali ikatokea na nini hasa kilichoibwa na kina umuhimu gani.

  Nijuavyo mimi TCU wana data base yao, sasa wameiba server?
   
 7. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi naomba radhi kwa nitakaowakwaza, lakini ukweli ni kwamba mmeniacha gizani. Naomba kuelimishwa TCU ni nini? Bahati mbaya siko nchini na ningependa kuelewa kinachojadiliwa hapa, na si rahisi kuelewa kama hata kirefu cha TCU sikifahamu.
   
 8. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  hawa nao, kwanini wasingeenda loan board watu tukasamehewa mikopo yetu.. arrrgh
   
 9. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  TCU = Tanzania Commission for Universities.
  Ofisi zao ziko Dar es Salaam - Kinondoni - Garden Road
   
 10. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Tuna USALAMA WA CCM na viongozi wake. Kwa mfano wame-play a very role kufunika kufumaniwa kwa Simba wa wenyewe!!
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  i just love JF, yaani breaking news zote za mjini hapa unazipata hapa hapa!!:yo:
   
 12. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dhaifu, dhaifu, dhaifu...........list goes on
   
 13. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,798
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Usalama wameingiaje hapa? Kwa nini hukutaja polisi?
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  mzee ni kama tulikua tunasomana mawazo...yaani napenda hata kahitilafu ka moto katokee pale ili wote tuwe mafisadi lol
   
 15. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache wafu wawazike wafu wao
   
 16. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  sure...
   
 17. e

  edwin m.mulokozi New Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanzania commission for universities
   
 18. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hapo kweli sababu hazikosekani,lazima kuna jambo moja limechangia.
   
 19. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Kaka wezi ahhh samahani kaka majambazi nendeni na pale HESLB
   
 20. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mi nadahi huu ni uozo wa nchi yetu..ni kashfa na aibu!!!!
   
Loading...