Padre aitaka ccm ijiandea kuondoka madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Padre aitaka ccm ijiandea kuondoka madarakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salary Slip, Jun 26, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,975
  Likes Received: 37,566
  Trophy Points: 280
  Padre wa kanisa katoliki baptiste Mapunda amekishauri chama cha mapinduzi kuanza kujiandaa kuondoka madarakani kwa kushindwa kuboresha maisha ya watanzania ambayo yanazidi kuwa magumu.Padre huyo alitoa kauli hiyo siku ya jumapili wakati wa ibada ya jumapili ktk kanisa lililoko huko Yombo Dovya mkoani Dar-es-salaam.Alitoa mfano wa nchi za Kenya,Zambia,Ghana na kwingineko ambako vyama tawala viliondolewa madarakani.
  Vili vile ameunga mkono mgomo wa madaktari akisema wanadai haki na amedai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli.
  Source:Tanzania daima la trh 25/06/2012.
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Umekurupuka!
   
Loading...