Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ernesto Che, Jun 21, 2012.

 1. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  WADAU. Nimekuwamsikilizaji wa kipindi cha asubuhi cha Clouds FM cha Power Breakfast, ambachoni maarufu sana siku hizi, siku za karibuni GERALD HANDO kupitia segment yakeya Jicho la NgÂ’ombe amedhihirisha dhamira yake hasi kwa taifa letu, dhamirailiyojaa unafiki mkubwa.
  HakikaGerald amejivika kuwa mtetezi wa maovu ya serikali, hususan bajeti hii ambayohata serikali yenyewe imekiri kuwa ni mbovu ikifanya mkakati wa kuiboresha.Ndugu zangu wenye nia thabiti ya kuleta mabadiliko katika mfumo mbovu wa serikalihii, nawaomba tuungane kwa nguvu zetu zote kukataa propaganda chafu za GeraldHando (siamini kama ni msimamo wa Clouds Fm kama ndivyo wawathibitishiewananchi).

  Leo asubuhiamewakejeli wabunge wetu wote wanaoikosoa bajeti hii, akidai wanatafutaattention kwa wananchi, tena akienda mbali kwa kudai ni watovu wa nidhamu kwababa yao (Rais), tena hawafanyi kilichowapeleka bungeni. Hivi yeye ni nanimpaka atoe kashfa zote hizo? Au kwa kuwa amepewa jukwaa la kubwabwaja. Hakikanimemshusha thamani kwa hoja zake dhaifu!
  Wadau,naandika kwa urefu nikiwa very disappointed na hawa wana habari uchwara (kamaGerald Hando) ambao wanaweka maslahi yao badala ya umma. Sielewi kwa mtazamo waGerald Hando wabunge kazi yako bungeni ni ipi kama sio kuihoji na kuibanaserikali, yawezekana hawafahamu hata majukumu ya mbunge (inataka elimu ilikujua hilo sijui kama anayo), anataka waende kusinzia kama baadhiwalivyochukuliwa na picha?.
  Iwapoameamua kuwa msemaji wa serikali ya CCM, basi tujulishwe kwani hatuna tatizo naRadio Uhuru amabyo ni propaganda machine ya CCM, kila mtu anajua hilo na hatuna tatizao nalo, ilawapigania ukombozi wa kweli tutaendelea kuibana serikali, tukiwatumia wabungewetu kama Mnyika kueleza umma uozo wa serikali hii, asitukatishe tama kwanihatofanikiwa kamwe. Hongera Mnyika tuko nyuma yako katika hili.
  Aluta Kontinua mpakaserikali itambue haki ya wananchi. Ole wao wanafiki siku zao zinahesabika
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  nilishaacha kusikiliza hicho kipindi na hiyo redio toka masudi kipanya aondoke hapo....siku hizi kimekuwa maarufu hicho kipindi?!!
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Mimi naona huo ndio mtazamo wao .Kila mtu anatakiwa kuwa huru na anachofikiria.Pia elewa huyo kijana ni mwajiriwa wa hicho chombo lazma alinde sera za mwajiri wake hata kama huo sio mtazamo wake binafsi.
  Nafikiri ungemweleza mmiliki wa hiyo radio ndio ingeleta maana
   
 4. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni kweli na kinawapotosha maelfu ya watanzania hatuwezi kukaa kimya hakika wanaboa jamaa hawa kwa kupotosha makusudi
   
 5. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Heading yangu imelenga mmiliki na pia kuweka msisitizo nimemtaja yeye mtangazaji
   
 6. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani lazima usikilize Clouds FM. Mbona kuna Redio nyingi.
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  I have never seen a ............... person like him in my entire life! yaani kama yule ndio mume wangu NAOMBA TALAKA! mwanaume unatakiwa kujiamini na kutoa HOJA zinazoeleweka!

  Binafsi yangu AMENIKERA, mpaka hubby aliweka cd akaona radio imejaa upuuzi! i hate that radio, coz ipo ki-ccm zaidi, haiongeo ukweli, ni wanafiki wakubwa sijui wanafikiria kwa vichwa au masaburi! ni aibu kubwa mnoooo! kwani kwa kuitete a ccm hata katika maujinga yake ndio utaonekana mwema!

  Nimemdharau sana huyo sijui Gerald, kaka yangu anaitwa gerald, amesema kuanzia leo tumuite jina la nyumbani 'mogovano' hilo halitaki tena asije ambukizwa uhandolism wa kujikomba kwa wanaume wenzio uonekane we mwema na kidume!

  We Gerald jisonyooooooo lako hili, straight from me! mods kama nimewakwaza nisameheni,nna hasira sana na Geraldito mhandolism!
   
 8. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau bado uko na hii radio,ama kweli unajipotezea muda kwa hao wachumia tumbo.
   
 9. M

  MAKAWANI Senior Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazi yao ni kujipendekeza kwa rais kwa kwenda kumfanyia birthday Ikulu. Clouds kila mtu pale ni mjuaji!!!!
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  dada UPOPO heshima yako asubuhi ya leo, kwa kulinda sera za bosi ndio uongee UJINGA?? ina maana WEWE ungekuwa chini ya David cameron, ungeipitisha na kuisuport sera ya ushoga sababu tu ni sera ya bosi wako,?? au ungepitisha abortions sababu ni sera y abosi wako. ndio maana tukatofautishwa na wanyama, coz cc ni we have brains, TUNAJUA JEMA NA BAYA! aache unafiki na kujikomba! hakutamsaidia zaidi ya kujichoresha! anaonekana so s.t.u.p.i.d! na uandishi wake wa kusoma darasa moja na wafanyakazi wa GPL veta! pathetic!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Radio Uhuru B
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Gerald Hando kasema ukweli.
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama Mkurugenzi wa Kituo hicho asipochukua hatua dhabiti za kuwa elimisha kama siyo kuwakanya watangazaji wake kutojiingiza katika ushabiki wa mambo mbali mbali itawakocost na ikichukuliwa kuwa yeye ndiye atakuwa muhanga mkuu. Watangazaji wengi sana wa hii redio wamekuwa wakilalamikiwa katika mambo mbali mbali kuanzia Siasa,Elimu,Michezo na Udaku.Tatizo lao ni Kuingiza ushabiki na Ujuaji wa mambo ambayo kimsingi hawayajui. Haya Mambo yanawaondolea umakini na uwepo wao katika masikio ya watanzani kwakuoneka waropokaji na wakipaga kelele. Hawa wote ni watangazaji ambao wamelalamikiwa kwa nyakati tofauti:
  1. Kibonde
  2. Hando
  3. Shafii
  4. MaestrO
   
 14. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Amedumazwa na enzi za chama kimoja. Kukaa kimya bungeni na kusubiri kuafiki kwa 100% chochote kiletwacho humo kwa maamuzi.
  Wabunge wakae kimya halafu iweje? Kazi ya wabunge itakuwa ni nn sasa?
  Kuna sababu ya kuipeleka bajeti bungeni kujadiliwa kama mchango wa wabunge hautakiwi?
  Gerald Hando hajui anasimamia wapi. Inategemea siku hiyo ameamka vipi? sometimes anaongea point na wakati mwingine anatapika pumba tu!
  Kwanza mara nyingi nimewasikia wakidai kuwa hawapendi mambo ya siasa kujadili ktk kipindi chao. Wasamehewe tu.
   
 15. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Clouds fm, uhuru fm & magazeti yake, oftenly tbc tv and fm, govt newspapers are blacklisted radio stations that i dont listen to! Vyombo vya habari au wanahabari <baadhi> huchangia uovu ktk nchi.
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hii radio ni Kama shamba la bibi,sijui hawana sheria za kuwabana wafanyakazi wao!!!.Unapotoa maoni Kama mwandishi wa habari lazima utie msisitizo kuwa maoni hayo ni kwa kampuni(Clauds fm)au ni msimamo wako.Ni ngumu kufika kule tunataka kwa watu aina ya Gerald Hando,elimu zao wanazipata wapi?
   
 17. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,406
  Likes Received: 6,597
  Trophy Points: 280
  Wana JF nimepata wazo , kwanini tusianzishe radio JF..Tujimwageeeeee humooooo siku nzima na TV yetu...kwa raha zetuuu
   
 18. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Mkuu che,kwani umesahau huyo geradi na pj kipindi cha uchaguzi mdogo pale mwaloni walikuwa wanapiga kampeni live kwa yule masamaki tuliyempiga chini.clouds na full magamba!!
   
 19. T

  Turbulence Senior Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hii redio ina watangazaji mabogas sana. Kipindi kama hicho cha power breakfast kilitakiwa kufanywa na watu wenye akili zao na upeo wa kuelewa na kuchambua issues. Kipanya na Fina were good. Huyo Gerald Hando hana upeo, sijui darasa dogo au immarture brains. Kama mtu una mambo mengine ya kufanya huwezi kusikiliza hao jamaa. Imagine redio ina Hando, Kibonde.
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  veta my broda! Veta! No proffesionalism there! Typical nonsense!
   
Loading...