Nashindwa kuwaelewa Wabongo mara utasikia ooh hayo sio maadili ya Kitanzania mtu akiambia kweli..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashindwa kuwaelewa Wabongo mara utasikia ooh hayo sio maadili ya Kitanzania mtu akiambia kweli.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mboko, Jun 25, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hey wadanganyika nani kawaloga nyie kila leo utasikia oooh maneno hayo/haya sio maadili ya Kitanzania hata mtu akisema neno kama hili pia ni matusi na si maadili kwa watanzania neno DHAIFU hivi hili nalo ni tusi/matusi na si maadili kwa Mtanzania kuyatumia/kulitumia??
  Hapa nataka kuwakumbusha tu Watanganyika pamoja na Ndungai naibu speaker wa bunge la Tanzania kuwa neno DHAIFU sio tusi/matusi na yeye kama naibu speaker kwa kumtoa Mh John John Mnyika bungeni ati kamtukana Rais kwa kumuita DHAIFU moja kwa moja naye kaonyesha UDHAIFU kama Rais wake kwa kutumia madaraka yake ki DHAIFU na uamuzi aliochukua kumtoa Mh Mnyika ni DHAIFU pia.
  Tukija kwenye mifano ya neno DHAIFU kwa lugha mbili yaani ile ya Kiswahili na English nitaanza na Kiswahili japokuwa kuna watu wanaongea lakini hawakielewi pia,
  Swahili Example;
  Mtoto anaweza kupata alama nyingi katika kuandika kumbe ni DHAIFU sana katika kuzungumza.
  English Example;
  A child may get high marks in writing but surprisingly is weak in conversational skills
  So wale wote wapambe wa Ndungai na Rais walishindwa kusoma alama za nyakati hata wakalichukulia neno DHAIFU kuwa ni matusi,jamani tusiwe wavivu wa kusoma/kuelewa hata maneno ya lugha yetu na mwisho wa siku mara ooh hayo ni matusi na si maadili ya Mtanganyika,kwani maadili ya Mtanganyika ni yapi?????
   
 2. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hii Ishapita hata Uvivu kusoma

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 3. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Inategemea neno ''DHAIFU'' limetumika ktk mazingira gani, kwa mtu gani na wapi!
  Mfano 1 :Ebu siku moja mwambie mzazi wako, baba au mama (ikiwa wapo bado hai) kuwa: '' Baba, nakwambia wewe ni dhaifu sana ...'' Jibu utakalopata rudisha hapa jukwaani.
  Mfano 2 : Mko ktk kadamnasi ya watu, ghafla mke wako akufokee, '' Wewe Mboko, kwanini umekataa ku..., nakwambia
  Mboko wewe ni mwanamme dhaifu sana''.

  Alikadhalika, japo presida wetu awe dhaifu kama inavyoelekea kuwa; sidhani kuwa itakuwa heshima kuitwa hivyo mbele ya wabunge!
   
 4. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi nahisi aliyetukana ni yule aliyetumia neno silly lakini lilikuwa kiingereza akutolewa nje huu nao ni udhaiifu
   
 5. M

  Mboko JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mnatakiwa kuelewa kwamba kuan kitu kinaitwa Constructive criticism kwa maana hiyo naweza kumwambia mtu yeyote yule kama tuko kwenye mambo ambayo ni ya msingi kwa mfano hata Baba ngu au mama ngu kafanya kinyume nitamwambia yr DHAIFU bila kumuogopa wal kumuonea haya kwani yeye ni mzazi/wazazi so atareact lakini by the end of the day atarew kichwa chake then ataona ni kweli then siku ingine atarekebisha na wewe usemaye hii habari ilipita hata unashindwa kusoma pole sana kwani issue zinazohusu maslahi ya nchi yetu lazima tukomae nazo,hivi unataka uniambie kwa kuwa hela ya EPA ilitafunwa miaka mingi kwa maana hiyo tusiiongelee??
   
 6. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280


  Rais si baba, japo watu wana dare kumuita baba wa taifa lakini rais huyo huyo hana faida kwako. Kumbuka, bunge liko pale si kutunga tu sheria za nchi bali hata kumtukana na kumkosoa rais when necessary. Mnyika hana kosa, alikuwa ana express his views juu ya rais wetu na aliyoyasema ni kweli.
   
Loading...