Mfano mzuri wa kuigwa kutoka kwa MH. M.K Pinda.......Kibinaadamu Zaidi!!!

Borat69

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,526
1,757
Leo hii katika kuperuzi katika hii mitandao yetu ya kijamii, nimekutana na Picha ya second lady (Mama Pinda) akiwa na mtoto wao (Albino) anayeitwa George Bush. Natoa pongezi kwa Familia ya Mh. Pinda kwa kumpatia malezi bora kijana George Bush mwenye ulemavu wa ngozi. Pamoja sana Mkuu Pinda na Mama Tunu kwa kutuonyesha mfano bora wa kuwathamini hawa ndugu zetu. (Hili suala halitaki ushabiki wa Siasa....liko kibinaadamu zaidi)...
 
Wampongeza m2 kwa wajibu wake?
 
Back
Top Bottom