we unaonaje hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

we unaonaje hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yaser, Jun 27, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mi kwa maoni yangu nadhani umaskini tulionao tanzania licha ya mambo mengine ila umesababishwa sna na siasa za ujamaa za mwlm JK nyerere.maoni yko yakoje?
   
 2. R

  Rubesha Kipesha Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikubaliani na wewe, tangu tuliache Azimio la Arusha na mfumo wa ujamaa uliyokuwa
  ndoto ya mwalimu. Hatuna maendeleo makubwa sana ya kiuchumi. Tena sasa tuko katika mfumo
  wa kibepari japo hatukiri. Tumeshaanza kutawaliwa upya na mataifa makubwa - tunawaalika wawekezaji kila kukicha ambao wanajikita katika nyanja mbalimbali!
   
Loading...