Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimeipenda tarifa ya habari ya itv leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Jun 26, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,596
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Musoma na rorya wamepewa kivuko, lakini cha ajabu wametofautiana kivuko kilale wapi. Musoma wanataka kivuko kilale Musoma na Rorya wanataka kivuko kilale kwao.
  Mbaya zaidi kamati ya ccm imekaa kikao kujadili langi ya kivuko wakidai rangi za kivuko zinafanana na rangi za chadema. Wameongeza kwamba kilipo letwa vijana walikua wakishangilia wakionesha alama ya vidole viwili wakati kivuko waliokuwa wabunge wa ccm ndo walio kiomba. kivuko kina rangi za blue, nyeupe, nyeusi na nyekundu kwa chini.
  Mia
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,822
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  ccm wanawivu wa kitoto!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,169
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wamelalamika kama nini hawa jamaa.
   
 4. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 5,779
  Likes Received: 1,761
  Trophy Points: 280
  Bwa aha ha ha ha ha ha! Hii M4C kweli ni noma. Yaani kila mtu hadi makampuni ya uhandisi wakitazama, wakiwaza wanaiona M4C na rangi zake nne - rangi bora zaidi kwa wakati huu tulio nao. The magic colors RED, BLUE, BLACK, and WHITE.
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,596
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaa....!!!m umeona yule mama alivyo kuwa anatoa povu?. Mkuu hujambo wewe? nimefurahi kukuona. Mia
   
 6. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamaa wanataka kutoa tamko. Hivi rangi tu imekua noma. Je bendera inanyopepea juu si nia taifa. CCM acheni mawazo mgando.
   
 7. Mag3

  Mag3 JF Gold Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 7,740
  Likes Received: 2,960
  Trophy Points: 280
  Hawa CCM wangekuwa na uwezo, damu zao zingekuwa na rangi ya kijani!
   
 8. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 460
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa wao ni dhaifu hilo ndio tatizo kubwa mungu awasamehe bure kwa kuwa hawajui walitendalo na ndio maana ni wadhaifu.
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Mbunge wao(rorya)yupi jimboni akishinikiza kivuko kipakwe rangi ya kijani
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,935
  Likes Received: 6,765
  Trophy Points: 280
  Kumbe kweli bwana, niliambiwa nikawa mbishi... sasa nimeamini kuwa CCM wanafikiria kwa kutumia MASABURI
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,072
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wivu wa kike
   
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,543
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hata mi nimeipenda...funny
   
 13. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,937
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata kile cha kigamboni itabidi kibadilishwe rangi
   
 14. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,880
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Kaka yao dhaifu aliwahi kusema wimbo wa jumuia ya afrika mashariki ni wa 'ki-sabato'
   
Loading...