Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna tetesi kuwa mh, Pinda hatahudhuria kipindi cha asubuhi leo Alhamisi ili kukwepa maswali ya papo kwa papo kutoka kwa mh. Mbowe ili kukwepa ile aibu ya kulia bungeni kama mwaka 2009 alivyobanwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
liwalo na liwe
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Explanation nzuri ya agent provocateur ni kama ifuatavyo: Traditionally, an agent provocateur (plural: agents provocateurs, French for "inciting agent(s)") is an agent employed by the police or...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna taarifa yoyote kuhusu taarifa za uharamia aliofanyiwa dr. Ulimboka, hii inamaanisha nini wadau? nafikiri ni majibu tosha kuwa hii serikali dhaifu na ya kidhalimu inahusika moja kwa moja...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
kUNA UVUMI KUWA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU INAFUTWA NA MAJUKU YAKE KUABIDHIWA KWA WAKURUGENZI JAMAN WADAU MWENYE TAARIFA KAMILI ATUJUZE
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumaini hii kitu itamfariji Dr Ulimboka na inabidi tujue Watanzania hatutakombolewa na mtu mwingine isipokuwa sisi wenyewe. ''Mental Slavery bado inatutesa" Tuna utumwa wa fikra" yaani hadi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa nilichokiona kupitia ITV, PM hawezi kutoa tamko rasmi la serikali, upepo umengeuka. Je utafukuza kazi na utumishi, watumishi wote? "na litakalo kuwa na liwe" nakushauri PM ktk vita hii, anza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikiwasikia viongozi hasa mawaziri, wabunge wa ccm na watendaji wakuu wa serikali hutoa kauli hii SERIKALI YA CCM itafanya hili au imefanya hili nauliza Tanzania tuna serikali ngapi kutofautisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
haya yalikuwa ni maneno ya Mh Chenge kutokana na chenji za rada alizopewa kama zawadi akaziifadhi kule Uswisi...Leo kauli yake imetimia,tunaambiwa Kumbe ziko zaidi Ya Bilion 300 (million 300,000)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mda mfupi wakati akihitimisha kikao cha leo naibu spika ametoa ushauri wa jumla kwa wabunge wetu kuwa bajeti ni yao hivyo ni ajabu mbunge wa ccm kusimama na kuikosoa bajeti ya serikali yake jukumu...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
huu ni ujumbe uliowafikia madaktari wote nchini baada ya tukio la kuteswa na kupigwa kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr stephen ulimboka. "ukiwa vitani na ukashuhudia askari mwenzako kapigwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hatua ambayo imeibua mjadala mzito katika kipindi hiki cha Bunge la Bajeti, Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom imemwaga Blackberry kila moja ikiwa na thamani ya...
7 Reactions
97 Replies
8K Views
Ndugu zangu wanaJF, Nipo hapo Afrika kusini kwa muda sasa. Huwa najiuliza maswali mengi bila kupata majibu ninapokuwa nakatiza mitaa hasa ya Capetown. Miundo mbinu yao hasa barabara flyovers...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
katika kujiandaa kuwa chama cha upinzani CCM rorya jana wameamua kutopanda kivuko MV MUSOMA kinachomilikiwa na govt
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania Daima la leo ukurasa wa 17 na 20 limetumia picha ya mtu mmoja kama waziri wa fedha Ugiriki na rais wa Misri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nafahamika kwa Id ya Kadakabikile kwa muda mrefu, lakini nimeona nibadili jina na hatimae nitumie jina langu halisi. Kwa hiyo kuanzia leo nafahamika kama Barnabas Shadrack na hii ni baada...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi, mara zote habari muhimu ilikuwa ya huyu mpiganaji-alikuwa anatoa habari critical zenye uchunguzi wa kina: Kuna kipindi waziri wa ushirikiano wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, I hope all is well. Mwenye kuwa na soft copy ya hotuba ya waziri ya fedha ( iliyosomwa mara ya mwisho baada ya marekebisho), pamoja na ile ya waziri mkuu naziomba ili nizipitie kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata email kutoka kwa mshikaji, Insikitisha, inatisha sana, nimeona bora niwashirikishe ndugu zangu wa JF. Dear friends Leo nimeona ni vyema nika-share nanyi kisa hiki cha kutekwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
jana katika taarifa ya TBC1, Shekhe Simba alitoa kauli ya kuwataarifu waislam kushiriki katika sensa baada ya serikali kukubali kuingiza kipengere cha dini katika hojaji ya sensa inayotarajiwa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…