TSD kufutwa na majukumu yake kukabidhiwa kwa wakurugenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TSD kufutwa na majukumu yake kukabidhiwa kwa wakurugenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chakachuaz, Jun 25, 2012.

 1. chakachuaz

  chakachuaz Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kUNA UVUMI KUWA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU INAFUTWA NA MAJUKU YAKE KUABIDHIWA KWA WAKURUGENZI JAMAN WADAU MWENYE TAARIFA KAMILI ATUJUZE
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,371
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Sawa tu!
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,791
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Aliyekuambia ndo muuliza amepata wapi hiyo
   
 4. R

  Rose Mutwe Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siafiki tsd kufutwa, hiyo yote inatokana na serikali kugundua kuwa tsd ndiyo dira ya walimu kujua haki zao za msingi. kwani wakurugenzi wao huhimiza wajibu tu na pia wanapokea amri toka juu kwakuwa wamepewa nafasi hizo kwa maslahi ya waliowapa ulaji huo.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,792
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280
  Mbona kama nilisikia kwamba wanaunda chombo fulani hivi kama professional body ya waalimu.
   
 6. S

  Sobangeja Senior Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Join 21.06.2012,post 3,Tabu kwelikweli!
   
 7. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ndicho kilichoundwa,juzi naibu waziri tamisemi ametangaza akiwa mpwapwa ktk kikao na walimu wilayani hapo
   
 8. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  tsd nacho kinahitaji marekebisho makubwa kwa uzembe wa wafanyakazi wake kimekuwa ndo chanzo cha matatizo kama ya walimu kucheleweshewa kupandishwa Madaraja, upatikanaji wa tsd namba nao ni mzozo! Barua za kuthibitishwa kazini hazipatikani kwa wakati yaani hichi chombo hakimsaiidiii mwalimu hata kidogo! Tsd wanatakiwa watoe elimu ya sheria na haki za mfanyakazi lakini ukienda maofisini hazipo na hata zikiwepo lazima upigwe dana dana! Yaani ni bora kiboreshwe au kivunjwe baadhi ya majukumu yapelekwe kwe mkurugenzi na iundwe board ya waalimu ambayo itaidhinsha walimu iwe ka nbaa, crb,tls, bodi ya wanaataluma hiyo board ifanyie kazi kiwango cha walimu, mikataba ya walimu, haki zao na mashirika ya pensheni, suala la kujiendeleza kielimu pamoja na workshop za kutosha


  suala lingine ni idara ya ukaguzi nayo si bora ifutwe tu?
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,998
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Simple minded personality... discussing people. Haya wewe uliyejiunga miezi 8 iliyopita una lipi jipya? Dhaifu kama jamaa yako wa pale Ferri
   
Loading...