Pinda atasemaje leo Bungeni ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda atasemaje leo Bungeni ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 28, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  liwalo na liwe
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nafikiri atajutia kauli yake iliyoidhalilisha cheo chake kama PM!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Anaweza akaishia kulia.
  Mi namshauri km vp asigusie kabisa suala la Daktari aliyepigwa. Awe strict na msimamo wa serikali ya ccm.
   
 4. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Anaweza kusema pia kuwa "katika uwaziri mkuu wangu huu, nimetumika vibaya kiliko na mapenzi yangu. Kuliko na yaliyokuwa mataajio yangu. ....... Na kwa vile nimetumia jitihada zangu zote kumshauri vema kakaangu juu ya uendeshaji wa serikali yake na kwakuwa hakunisikia na hanisikii hata kwa tukii la jana, jamani LIWALO NA LIWE nimeamua kujivua gamba.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Kha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa!!
  Umenikumbusha enzi ya albino.
   
 6. M

  MpendaMabadiliko Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Atakachosema:-
  1. Viongozi wote au vinara wa mgomo wa madaktari serikali inawasimamisha kazi.
  2. Serikali itaagiza madaktari kutoka nchi marafiki kama China na Cuba ili kufidia pengo la Madaktari

  Na mwisho atatoa machozi ili kuonyesha unafiki kwa yale yaliyotokea kwa Dr. Ulimboka.

  MUHIMU: Pinda hana uzoefu hata kidogo katika mchakato wa 'CONFLICT RESOLUTION' ndio maana alisema 'liwalo na liwe' maana background yake ametokea usalama wa Taifa Ikulu kwa muda mrefu hakuwa mtendaji bali mtumwaji yaani ni mtu wa kupokea DIRECTIVES. Uwezo wake wa kutatuwa mgogoro huu umefikia kikomo - no more thoughts!
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Atafukuza kazi watu leo.
   
 8. Bagenisb

  Bagenisb Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Atajiuzulu
   
 9. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hivi ni bingwa sana wa kutoa machozi ee?
  Hahahaaa atamlilia Ulimboka...
   
 10. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Najiuzulu "na liwalo na liwe"
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Huu ni upepo tu , utapita
   
 12. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Najivua gamba kwa hili lililotokea kwa ulimboka
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  pinda anajikaanga sasa
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ameongea tayari lakini hamna tamko wala jibu la maana...kama kaole vile
   
 15. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Atatangaza kuwafukuza kazi madaktari wote na kuwaambia wale wanaotaka waaply upya kwa kuleta barua ya maombi.
   
Loading...