Pinda kukwepa maswali ya papo kwa papo ili asilie tena bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda kukwepa maswali ya papo kwa papo ili asilie tena bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MALUNGU, Jun 28, 2012.

 1. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa mh, Pinda hatahudhuria kipindi cha asubuhi leo Alhamisi ili kukwepa maswali ya papo kwa papo kutoka kwa mh. Mbowe ili kukwepa ile aibu ya kulia bungeni kama mwaka 2009 alivyobanwa na Hamad Rashid kuhusu kauli yake tata juu ya mauaji ya albino aliyoitoa mkoani Tabora kutokana na kauli yake ya "liwalo na liwe".
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Hana jipya ,ila atakuwa na kikao cha kuwajadili hao madaktari ,just wait and see kwani leo ndio watatoa statement ya serekali kama alivyohaidi
   
Loading...