Hakuna asiyejua yaliyompata mpigania haki Dr Ulimboka, japo serikali inajitahidi kukana kuhusika na utekaji na mateso aliyotendewa Dr. Ulimboka lakina kunaviashilia vingi vinavyoonyesha uhusika wa...
wakuu nimekaa nkatafakari nkaona hali ya nchi ni tete, binafsi najiuliza
1. Balozi za mataifa nchini wanayaona haya yanayoendelea hapa nchini¿ ?
2. UN representatives wapo kweli nchini hali...
Poleni kwa majuku ndugu zangu! Naomba kuuliza, je bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara iliyo chini ya Dr Shukuru Kawambwa itajadiliwa lini Bungeni? Nahitaji kuifuatilia ili kujua...
Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapatangia tupate uhuru hatujapata serikali dhaifu kama hii ambayo rais hatoi tamko kutokana na hali tete alifanikiwa kwenda msibani kwa kanumba lakini steven...
Napenda kutumia nafasi hii kuwapatia pole ya usumbufu wale wote ambao waliotumiwa meseji za kuombwa kutumiwa pesa kwa njia ya tigo pesa wakati ambapo nambari yangu ya tigo ilipokuwa swaped na...
Thursday, 28 June 2012 20:18
Joseph Lyimo,Mbulu
MADAKTARI kumi wa Hospitali ya Haydom wilayani Mbulu katika Mkoa wa Manyara, wameungana na madaktari wa hospitali za Serikali...
jamani wana jf, poleni kwa majukumu na hongereni kwa kuwa na kazi.
Mwenzenu hebu mnijuze mshamba miye, hivi inawezakana mtu anayetaka kukulipa hela hasa ikiwa ni govt institution, eti...
Wana jamvi naomba mnisaidie nitawezaje kuwasiliana na Rais Kikwete hata mara moja tu niongee nae nina shida nae,nadhani anaweza kunisaidia tatizo langu yeye kama mzazi na mtanzania mwenzangu...
Mfuko wa Pensheni Kwa Watumishi wa Umma (PSPF) umejenga nyumba za kisasa katika maeneo mbalimbali na utawauzia wanachama kwa kuwadhamini kukopa benki kwa masharti nafuu ili kuzinunua nyumba hizo...
1:kuna idadi kubwa ya madoctor wa kutegemewa na wenye elimu ya kati wanamiliki zahanati(nyengine za nguvu)au maabara zao binafsi,na asilimia kubwa ya vyombo vinavyotumika humo sawa dawa...
Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda...
Je ni kweli kuwa serikali ililipa wafanyakazi mwezi wa 12 pesa kutoka Mohamed enterprise?na eti rais mstaafu wa africa kusini mpaka leo anashangaa sana mjengo wa rais mstaafu wa bongo uliojengwa...
Katika hali kama hii, katika wakati kama huu, ambapo upande mmoja wa walala hai unatumia nguvu kubwa kupinga na kudhoofisha upande wa walala hoi, kunahitajika kuwa na umoja, na kushauriana pasipo...