Video:CHADEMA yalaani vikali kitendo cha kupigwa kwa Dk. Ulimboka

Msemaji amekumbusha enzi za miaka ya 70 ambapo wapenda maendeleo walikuwa wanapotea au kuuawa kiaina. Mimi nakumbuka zaidienzi za Iddi Amini ambapo wapinzani wake walikuwa wanapotea na baadae kugunduliwa wamekufa. Yuko wapi yeye naye sasa???
 
Msemaji amekumbusha enzi za miaka ya 70 ambapo wapenda maendeleo walikuwa wanapotea au kuuawa kiaina. Mimi nakumbuka zaidienzi za Iddi Amini ambapo wapinzani wake walikuwa wanapotea na baadae kugunduliwa wamekufa. Yuko wapi yeye naye sasa???

Ni aibu kubwa watawala wetu leo hii kufanya mambo yaliyofanywa na Amini miaka 40 iliyopita na kulaaniwa na karibu dunia nzima.
 
mimi binafsi napinga kabsa
ingekua amri yangu tungeingia mzigoni tu liwalo na liwe
 
Tumewazoea kudakia mambo tungetegemea mara alipopigwa tu wangeacha posho za bunge na kuja Dar mara moja kuungana na Ulimboka
 
Ulimboka ni part ya ile Consipiracy ya NORTH! Waache wamlilie!
Ya kweli hayo? Hata kama ni kweli, lakini walikofikia upande wa pili basi itaendelea kuwatafuna na pengine mwisho wake utatuingiza kwenye gharama kubwa zaidi.
 
FALSAFA YA CHAMA 3.A, 3.4 -Historia inaonyesha kuwa UMMA wa watanzania haujawahi kuwa na sauti,mamlaka na madaraka wakati wote,tokea enzi za ukoloni mpaka leo,vimekuwa vikihodhiwa na kumilikiwa na watu wachache ambao wana mamlaka ya kuongoza SERIKALI na kuwakandamiza wananchi. Kama mwanachama na niliyetathimini falsafa ya chama na yale yanayotokea Tanzania ya sasa NINALAANI ukiukwaji wa haki za binadamu huku tukijipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba tuna AMANI.
 
good lakini umeweka part ndogo sana, kama kuna namna utuwekee nyongeza ya hili tamko mkuu
 
Ati freeworld ya wapi?? wewe ni mbinafsi, na naamini unatumiwa wewe, mambo ya ukanda yanatoka wapi? acha utoto, angalia huu udhalimu alofanyiwa Dr. hacheni kutumiwa na mafisadi na kuanza kuleta maneno ya mzaa wakati watu wanamachungu pia wako serious
 
Back
Top Bottom