madoctor na hawa tunaowaita mafisadi wana tofauti gani???!!!tafadhali soma hii!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madoctor na hawa tunaowaita mafisadi wana tofauti gani???!!!tafadhali soma hii!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rebel volcano, Jun 28, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1:kuna idadi kubwa ya madoctor wa kutegemewa na wenye elimu ya kati wanamiliki zahanati(nyengine za nguvu)au maabara zao binafsi,na asilimia kubwa ya vyombo vinavyotumika humo sawa dawa zinazotolewa au vyombo vya kupimia na kuainishwa gonjwa,ni mali ya hospitali za serikali,zimefikaje humo,wakati kama wanavyodai kuna upungufu mkubwa wa dawa na vyombo mbali mbali(majina mengi sana yameorodheshwa mikoa na wilaya na ....)mbali mbali!
  2:madoctor hao hao unapokwenda hospitali za serikali hukwambia ili kuepuka foleni na kupata dawa za bei poa,nakuandikia vipimo nenda kwenye zahanati yangu upate huduma nafuu na ya fasta!!tupo pamoja hapo??!!
  3:madoctor wengi sana ni walevi na wazinzi wa kupindukia hata wakiwa kazini,na asilimia si mbaya ya madoctor hao ni waathirika wa h.i.v
  4:kuna idadi si ya kupuuzia ya madoctor wanaotumia madawa ya kulevya,na kuna wengine yameshawaathiri vibaya,hapo tunategemea nini??!!(data wahusika wanazo)
  5:madoctor wengi wananyumba za malaya wao za kutunza tu si chini ya tatu mpaka tano,wakati mjarisiamali mwenye kipato cha kati kutunza familia moja tu ni kazi!!!,hapa naona wanahaki ya kugoma!
  6:ni lazima madoctor wawe na jeuri kwa masikini wa hali ya chini kwani wenye fedha wakiwahonga hata usiku wa saa nane hukurupuka,na kusikiliza nini kimejiri,kwa kuwa wamezoeshwa hulka hii,asiekuwa na hela,kutibiwa hospitali za serikali ni ndoto,au atapasuliwa kwa makusudi kichwa badala ya goti.
  kuna mengi sana ya kuongeza hapo,tatizo mda!
  nimewasilisha hoja wana jf!!
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  We mamluki wa ccm umetumwa? Iwapo una ushahidi kwa nini usiende mahakamani? Huu si wakati wa kulalama na kutafuta huruma ya wananchi bali kuyafanyia kazi madai ya madaktari.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,225
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye namba 1, hiyo asilimia kubwa unayoizungumzia ni asilimia ngapi?
  Kuna tatizodokta kuwa na zahanati yake?
  Una ushahidi wa kutumia vifaa vya hospitali?
  Na hao wanaochukua vifaa vya hispitali kama wapo umejiuliza uhusiano wao na viongozi wa serikalini?

  Namba mbili, hizo unazoziita hospitaliza serikali, mara ngapi unasikia vipimo vimeharibika na hakuna anayejali? Hakuna anayetoa fedha (serikali) ili kutengeneza? Mara ngapi hata x ray machines tu unakuta mnovu? Mwezi uliopita ITVwalionyesha wagonjwa wa ocean road mashine imeharibika na haijatengenezwa muda, utalaumu daktari kwa kuwa ana mashine anayoipa service /matengenezo kwa wakati?

  Namba tatu, wdwe hujaathirika na vvu?
  Ulevi wake na uzinzi unakuhusu nini?
  Wewe sio mlevi wala mzinzi?

  Namba nne, hao wahusika wenye data wako wapi? Kwa nini usiziweke? Acha kupika majungu..... Wanaoingiza madawa ya kulevya ni kina nani? Serikali inawajua wamechukua hatua gani? Au wana maslahi ndo maana wamekaa kimya? Ile kesi ya ndugu yake rostam azzizi ya kushikwa na madawa unajua ilivyopotezewa?

  Namba sita bado ni majungu.com
  ni vyema ukaja na hizo evidencezako ili kuipa uzito hoja yako, zaidi ni majunhu kwa kwenda mbele....

  Ndo tatizo la nyie vibarakawaserikali,
  kwa nini msiishauri wakatatua matatizo?
  Unajua wastan daktari mmija anahudumia wagonjwa wangapi?

  Unajua vijijini madaktari wanashindwa kutibu kwa kuwz vifaa vya kuchunguzia magonjwa hakuna?

  Unajua dawa za bilioni ngapi zime expire kwenye maghala ya msd? Azikupelekwa vijijini? Unajua adhari za hili?

  Achilia mbali vijijini unajua wagonjwa muhimbili,tmk, n.k wanalala chini vitanda tu hamna?

  Hospitali inakosa gloves? Imagine gloves? Hlafu unataka dakyari akuhudumie bila gloves? Iki iweje? Akuamnukize VVU (ambavyo kwenye posti yako umedai madaktari wengi wameathirika) ni aibu kwa serikalikushindw kununua gloves.......

  Wanashindwa kulpa mishahara madaktari ila kuwalipa wabunge wanaweza?
  Angalia madini yanavyokombwa serikali /nchi haipatichochote wakati madini haya yalipaswa kutujengea flyovers, madini haya yalipaswa kutuboreshea huduma za hospitali, madini haya yanapaswa kuwasomesha vijana wote kuanzia msingi hadi chuo, ardhi inanyang'anywa na so called 'wawekezaji'

  ni management mbovu na 10% ndio inaangamiza nchi hii......
   
 4. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inamaana hata wodi za serikali wameiba na kupeleka kwenye zahanati zao? vitanda navyo wameiba na kupeleka kwao? cha msingi hapa sisi wenyewe tunajuwa fika huduma ktk hospitali zetu za serikali ni feki na ni duni kabisa. Tujiulize huo uduni upo kwa sababu zipi? Kama serikali haijengi mawodi ya kutosha, vitanda vya kutosha unategemea nini? Jiulize kwa nini viongozi wengi na familia zao wanatibiwa aga kan, regency, nk? ama mfano mwingine kwa nini viongozi ama watendaji wengi wa serikali watoto wao wanawapeleka shule binafsi? bila shaka hata wewe mwenyewe hapo ukiumwa unatibiwa private hospital. Na hata mtoto wako kama unaye anasoma private school. Jiulize why not government hospital ama school? Ok sawa hao wanapeleka kwenye zahanati zao, je na mashuleni namo walimu wanapeleka madawati na chalk majumbani ama kwenye shule zao? Umeshaingia vituo vya polisi? unakuonaje mle? This government every where is rotten. Unataka kuniambia yale magari ya serikali gari moja tu thamani yake haitoshi kujenga wodi kadhaa za wagonjwa ama kuongeza maabara? IF YOU FAIL TO PLAN YOU PLAN TO FAIL
   
 5. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280

  Keep it up.
  Mnajitahidi kutuhamisha kwenye mjadala wa Dr Uli. sidhani kama mtaweza. Any way endelea mkuu.
   
 6. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  thread hii ni ukwel mtupu nenda amana,temeke hospital kuanzia asubuh mpaka sa 9 kipimo cha ultra sound na vipimo vngne vikubwa vibovu na unaambiwa nenda hapo nje duka la madawa kapige hicho kipimo ulete tukusomee lkn cha kushangaza kuanzia sa 9 mchana vinapona tatzo hili kila cku...pia dawa hakuna wanakuandikia nenda kanunue na duka wanakutajia mfano amana kuna duka linaitwa kwa zungu,...ufisad mtupu
   
 7. K

  Kituntunu Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh ndugu yangu mimi na wewe wish yametukuta haya nimezungushwa temeke mpaka nimepoteza kipenzi changu kwenye mikono yao story nyingi tena za bar walikunywaje na wali spend vipi walivyoona nimepoteza mtu ndo wanajishaua kama kufuli la kichaa nashangaa wanavyoishambulia serikari wakati wanaiibia kila kitu na kupeleka kwenye ma dispensari yao vichochoroni jiulizeni madactari wangapi wamekufa mbele ya macho yenu wakati mnagoma au nanyi hamtakufa?
   
 8. m

  mmteule JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  sishangai kuona doctor anakufa....kwangu ni furaha, maana hata kwenye biblia imeendikwa ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga. mgomo wenu uliuaaa sanaaa sasa nyinyi mnataka tuone huruma gani nyinyi mkifa. mungu tulipizie sisi wanyonge.
   
Loading...