Nawezaje kuwasiliana na rais kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawezaje kuwasiliana na rais kikwete?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CLONEY, Jun 29, 2012.

 1. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi naomba mnisaidie nitawezaje kuwasiliana na Rais Kikwete hata mara moja tu niongee nae nina shida nae,nadhani anaweza kunisaidia tatizo langu yeye kama mzazi na mtanzania mwenzangu. Naomba muelewe sijakurupuka ila nina shida nahitaji msaada wake na ni masuala yangu binafsi.
   
 2. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijazungumzia dhaifu na si kila mtu anamwona dhaifu kama akili yako inavyokutuma kama huna msaada kwangu nadhani huo muda wako tumia kufanya mambo yanayokusaidia katika maisha yako.
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mbona rais kikwete yuko hapa jamvini daily??au hujui id yake inaitwa ritz??unaweza kupm tu hapahapa mkuu
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nenda pale magogoni ugonge geti watakufungulia mbona wanae wanaingia nakutoka na wewe si mtotoo wa mzazi just tek a step
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Subiri msiba wowote mkubwa,vaa kanzu na barghashia uwahi kkimbelembele msibani mtakutana hapo na utatambulishwa kama shehe ubwabwa wa madrasa
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  tafuta orodha ya safari anazotarajia kufanya nje ya nchi maana haishi tanzania,anaishi nje au ndani ya ndege!!!
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Andika barua ikulu ya kuomba appointment na Rais.
   
 8. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  +255754777775
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
 10. K

  Kailanga Senior Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  ps@moh.go.tz
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Tweet @jmkikwete
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mtafute twitter lazima utampata hapo na masharobaro wenzake @jmkikwete
   
Loading...