hali hii ni nani awajibishwe?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
jamani wana jf, poleni kwa majukumu na hongereni kwa kuwa na kazi.

Mwenzenu hebu mnijuze mshamba miye, hivi inawezakana mtu anayetaka kukulipa hela hasa ikiwa ni govt institution, eti akakuandikia hundi ambayo hana uhakika na hela iliyopo kwenye akaunti yake?

na je iwapo utaipeleka hundi benki na kuambiwa kuwa akaunti ya mlipaji haina hela, wewe uliyepewa hundi hiyo unatakiwa ufanyeje?

please naombeni majibu manake naona nimeingizwa chaka mahali jamani.matani sitaki jamani wala dharau.
 
Back
Top Bottom