nchi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nchi hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngalelefijo, Jun 29, 2012.

 1. ngalelefijo

  ngalelefijo JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Je ni kweli kuwa serikali ililipa wafanyakazi mwezi wa 12 pesa kutoka Mohamed enterprise?na eti rais mstaafu wa africa kusini mpaka leo anashangaa sana mjengo wa rais mstaafu wa bongo uliojengwa nchini humo? na wakurugenzi wa halmashauri ni wezi saaaana na CCM IKIONDOKA madarakani 2015 viongozi wengi wakiongozwa na rizmoko watahamia Dubai?source mtabiri
   
Loading...