Mfuko wa Pensheni Kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Kuwauzia Nyumba za Kisasa kwa Wanachama Wake!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Mfuko wa Pensheni Kwa Watumishi wa Umma (PSPF) umejenga nyumba za kisasa katika maeneo mbalimbali na utawauzia wanachama kwa kuwadhamini kukopa benki kwa masharti nafuu ili kuzinunua nyumba hizo, na kuulipa mkopo huo ndani ya kipindi cha miaka mpaka 25!.

Hayo, yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Kwanza, wa wadau wa PSPF,unaoendelea kwenye ukumbi wA Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.

Kwa taarifa zaidi, fuatilia mkutano huo live kupitia hii live stream http://www.livestream.com/haakneelp...7152&utm_source=lslibrary&utm_medium=ui-thumb


Pasco.
 
Back
Top Bottom