Madaktari msiwasahau wenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari msiwasahau wenzenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tutaweza, Jul 2, 2012.

 1. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu kufuatilia madai ya madaktari ila sijakutana na hoja yeyote inayozungumzia clinical officers/medical assistants.
  Clinical officers ndio wale wanaoitwa madaktari huko mikoani na wilayani na ndio wengi na wanafanya kazi sawasawa na MDs kwani nao wanafanya operations.
  Wakumbukeni wenzenu jamani, wawakilisheni maana nahisi hata wao kima chao cha chini ni kidogo.
   
Loading...