Maandamno yetu, yalifana sana jana :wananchi,wanaharakati na wauguzi'' airport wkt wa kumuaga mwenz

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
:help: Baadhi ya wanaharakati na wauguzi wakiwa na mabango yaliyokuwa na ujumbe wa kulaani kitendo cha kikatili alichofanyiwa

daktari huyo.
A%20S%20109.gif
 
Attachments

  • MAANDAMANO Dk.Ulimboka7.jpg
    MAANDAMANO Dk.Ulimboka7.jpg
    33.7 KB · Views: 210
:help: Baadhi ya wanaharakati na wauguzi wakiwa na mabango yaliyokuwa na ujumbe wa kulaani kitendo cha kikatili alichofanyiwa

daktari huyo.
A%20S%20109.gif

Wanaharakati nyie wanafiki wakubwa. Bei za bidhaa zinapanda kila siku na maisha ya wanyonge yanazidi kubana hamjawahi kuandamana, Albino wanachinjwa kila kukucha mmewaacha wajihangaikie wenyewe. Leo hii watu wanapoteza maisha majumbani kutokana na mgomo wa madaktari mnashangilia na kuonyesha ushindi eti kwa kujikusanya pale airport. Tanzania tuna activists vihiyo wasiojua wapi wasimame kutetea haki za wanyonge. They are simply mob mongers for popularity gains not real activists
 
we Mnyampaa gani?
kwani hayo maisha yanayopanda wanapandishiwa wanaharakati wewe hupandishiwi! anza kujitetea mwenyewe ndipo uwanyooshee kidole wenzio, unakaaje kama mzoga unaosubiriwa kuzolewa wewe!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tanzania tuna activists vihiyo wasiojua wapi wasimame kutetea haki za wanyonge. They are simply mob mongers for popularity gains not real activists

Wee ndio BURE kabisa....yaaani mpaka dunia ya leo hii bado umelaza kend*e zako nyumbani ukisubiri 'mesiya' aje akutetee haki zako? Kalaga baho, subiri tu utetewe na kuendelea kulaumu wanajitahidi kukutetea bila ya hata kuungwa mkono nawe....sie tunajitetea wenyewe!
 
Wanaharakati nyie wanafiki wakubwa. Bei za bidhaa zinapanda kila siku na maisha ya wanyonge yanazidi kubana hamjawahi kuandamana, Albino wanachinjwa kila kukucha mmewaacha wajihangaikie wenyewe. Leo hii watu wanapoteza maisha majumbani kutokana na mgomo wa madaktari mnashangilia na kuonyesha ushindi eti kwa kujikusanya pale airport. Tanzania tuna activists vihiyo wasiojua wapi wasimame kutetea haki za wanyonge. They are simply mob mongers for popularity gains not real activists[/QU kwa iyo unataka kutuambia kitu gani kutoka katika iyo insha yako?
 
Wee ndio BURE kabisa....yaaani mpaka dunia ya leo hii bado umelaza kend*e zako nyumbani ukisubiri 'mesiya' aje akutetee haki zako? Kalaga baho, subiri tu utetewe na kuendelea kulaumu wanajitahidi kukutetea bila ya hata kuungwa mkono nawe....sie tunajitetea wenyewe!

Sina imani na wanaharakati uchwara wa Tanzania ambao huchochea migomo na vurugu halafu wanabeba mabango na kupiga picha kwa ajili ya kuombea fedha kwa ajili ya kuombea fedha kwa wazungu wao.
 
Mimi naitwa Mnyambaaaa.... nafanya kazi ofisi ya TRC hapa Dar. Nimesoma Ukraine na Israel na Nilifundisha Kivukoni kwa miaka minne kabla ya kuhamia Jeshi la Polisi. poffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff kabisa.
 
Back
Top Bottom