Madiwani kupata posho ya TSh250,000

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
SERIKALI imetangaza viwango vipya vya posho za madiwani ambavyo vitakuwa Sh250,000 kwa mwezi kuanzia mwezi huu.Viwango hivyo ni ongezeko la asilimia 108 katika kiwango ambacho kilikuwa kikilipwa hadi Juni mwaka huu cha Sh120,000.

KUMBE INAWEZEKANA
source Mwananchi
 
Back
Top Bottom