Mussa Mzigama
New Member
- Jul 2, 2012
- 2
- 0
Rais Kikwete hongera kwa uamuzi mzuri wa kusema kwel coz madaktari wanachotaka hakiwezekan,jamani hebu fikiria kama mshahara wa daktari anayeanza kazi uwe 7.5 mil sasa mshahara daktari aliyeko kazin miaka kumi utakuwa ni kias gan,we've to think twice jaman,ingawa kwel mazingira ya kaz ni mabovu but hebu tuangalie sekta nyingine nawo si watahitaji kupandishiwa mshahara so nazani bajet yetu ya mwaka 2013/2014 ita kuwa ni kwa ajiri ya kuripa mishahara huku maendeo ya nchi yakitengewa 0.1 ya bajeti nzima,jamanii inabidi tufunge na kuliombea taifa letu ili yasije yakatoke yaliotokea Misri.Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki TANZANIA.