MADAKTARI rudini,WALIMU gomeni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MADAKTARI rudini,WALIMU gomeni...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 2, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kama kweli Serikali ina nia ya dhati ya kuboresha mazingira ya kazi ya Udaktari kama alivyosema Rais Kikwete jana,wale Madaktari wanaovutiwa na malipo ya Serikalini na warudi kazini.Wafanye hivyo hima ili wajitenge na wanaotaka maboresho.Msichangamane kinafiki.Kila mtu na achague upande umfaao. Haraka!

  Walimu je? Nao,waanzie kwa Madaktari.Wagome.Wasikilizie ahadi tamutamu za Wakuu wa Nchi. Tarehe yenu ya kugoma inakaribia.Ni tarehe 9/7/2012,siku ya kufungua Shule.Zamu kwa zamu.Daini haki yenu mkisubiri ahadi zao...
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  usinikumbushe ya braza gratian mukoba
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Lilikuwa bonge la igizo..
   
Loading...