Mbeya kwa waka tena ni vurugu nyingine.

ibra919

Member
Apr 16, 2012
23
6
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na kusababisha usumbufu kwa wasafiri walio kuwa wakitumia njia hiyo kati ya saa7 mchana hadi saa 10 jion gii ndio TANZANIA bhana.Naomba kuwashlisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom