Hello Mr.President! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello Mr.President!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Davesto, Jul 2, 2012.

 1. Davesto

  Davesto JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Nilisikiliza hotuba yako uliyoisoma mwisho wa mwezi na kurushwa na vyombo vya Habari mwanzo wa mwezi wa saba.Sielewi na haitonisaidia kama nikipewa maelezo.Kwangu ni kwa mara ya kwanza kukuona katika hali kama ile ya jana nadhani sasa ndio unakomaa kiakili na kuelewa yale maneno ya mwalimu ya kuwa IKULU NI MAHALI PATAKATIFU!
  Uliongelea makubaliano yenu na madaktari katika vikao vya serikali yako na wao vilipokaa,na kwa watu waliokuwa wakiangalia kuanzia ukiongea kwa vitendo na kujaribu kufanya kama unawasemea madaktari kwa wananchi ambao directly ndio waajiri wao halali.Kama ulivyoheshimu moja ya maombi yao ya kubadilisha uongozi katika wizara ya afya,sasa ninachojaribu kukushauri wewe kama Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu usipojaribu kutumia busara katika hili suala la madaktari then YOU WILL BE THE NEXT PERSON TO STEP DOWN!
  Because as they move then Justice must groan!


  TAKECARE
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mweshimiwa ulie toa hoja kwanza jana mweshimiwa alikuwa kwa rwanda na mkewe,,katiaka miaka 50 ya rwanda.katika marais 52 wa afrika walio alikwa yeye npeke yake ndie alie enda wngine walituma wawakilishi,,sasa hile haikuwa hotuba bali ilikuwa utumbo amekosa kazi
   
Loading...