Msitu wa pande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msitu wa pande

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by joeprince, Jun 28, 2012.

 1. j

  joeprince Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Toa maoni yako nini kifanyike kwa maana unatumika ndivyo sivyo na baadhi ya waovu
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ukabidhiwe jwtz.
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wagawe viwanja
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Hivi si ndo huu msitu ambao Kamanda Zombe, alituhumiwa Kuwauwa wale wafanyabiashara wa madini toka MAHENGE?
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo sehemu ya viongozi kuulia wanyonge!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ndio huko huko chief!!
   
 7. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Duu, msitu huo ni noma na inaonekana upo kwa kazi maalumu tu!!

   
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serekali ikawekeze huko na kuufanya mji mdogo na kujenga uwanja mkubwa wa mpira.
   
 9. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wapewe wananchi wajenge nyumba za kuishi!
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afu itaenda kuulia wapi wasio na hatia?
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Magwepande na Pande ni sehemu mbili tofauti.

  Pande ni Bagamoyo
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwakweli unahitajika kufyekwa kabla haujamaliza kufyeka wa TZ wengi wasio na hatia.
  Nchi kama ya Hitla na Idd AMINI Inatisha sana.

  Tz mh!
   
 13. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ofisi zote za Serikali (kama vile Wizara) ziamishiwe huko ili tupunguze msongamano mjini kwani huo msitu hauna tija kwa wananchi zaidi ya kuwa machinjio ya Binadamu wasio na hatia.
   
 14. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ukatwe wote liwe eneo la wazi.
   
 15. D

  Dr Amri Mabewa Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  liwalo na liwe
   
 16. k

  kitero JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuuingize katika kitabu cha GUINNESS BOOK.Maana unamatukio ya ajabu na yakutisha
   
 17. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Hapana, si kweli, pande na mabwepande zinapakana..., kama watokea bunju b, unaanza kwanza mabwepande pande, ukiendelea mbele kdg unaanza msitu wa pande na kuna bango kubwa wameandika pande game reserve,,,

  Ile barabara ya vumbi ukiendelea nayo utapita katikati ya msitu, na inaenda kutokea makabe then from makabe hadi mbezi mwisho(morogoro road)..., kuna njia nyingine pia inatokea mapinga pale darajani en route to bmoyo.., na nyingine inatokea kijiji cha zinga bagamoyo,, hii hutumiwa sana na watu wa magendo ya kutoka zanzibar kwa majahazi.., hii ya zinga sio rasmi na ni mbovu hutumika kukwepa road block ya pale mapinga, then wanakuja kuibukia bunju b
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,383
  Trophy Points: 280
  Kuufyeka msitu wa Pande ni kuifyeka CCM
   
 19. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Wajenge vituo vya watoto yatima vya kutosha, huduma za kijamii zipelekwe pia.
   
 20. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  sio kutuhumiwa. Jamaa aliwauwa kweli
   
Loading...