Napenda haki,ila haki bila wajibu sio sahihi!! aidha ukitaka uheshimiwe lazima ujiheshimu. kwa muda sasa nimeanza kumuelewa Rais Jakaya Kikwete kuwa ni mtu Mstahimilivu na muungwana ambaye...
Ukisikiliza vyombo vya habari vya CCM na hotuba ya mh rais aliyoitoa juzi kwa watz,utaamini kuwa madaktari wana dai moja tu kubwa;mishahara mikubwa!Huku ni kutublackmail na kutugombanisha wananchi...
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imesema Baraza la Mawaziri lililoundwa na Rais Jakaya Kikwete ni kubwa linalohitaji kupunguzwa ili kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali.Makamu...
Rushwa adui wa utu na haki ya mwanadamu. Ndungu wana JF, Tanzania tuliyo nayo leo, matatizo mengi ya kimsingi, chimbuko lake ni moja tu RUSHWA. Nchi inapoelekea ni pabaya mno. Kaburu , Mwiindi...
Ni miezi sasa imepita tangu mheshimiwa mnyika aongee na wakazi wa golani na kuwaambia kuwa pesa ya ujenzi wa daraja la mto unaotenganisha kimara suka na maeneo ya golani imetengwa na manispaa ya...
Kuna habari kuwa madk wa hospitali tajwa wanalazimishwa kufanya kazi baada ya kusign na mapolisi waliokuja hpo.ukiondoka baada ya kusign unakamatwa, wamekuja na defender kama tatu hv. source...
WADAU HEBU PIMENI MANENO HAYA NA MWIITIKIO WA JAMII.
1.LIWALO NA LIWE-Mh.waziri mkuu.-Jamii bado ina mtazamo hasi kwani kauli hii ilitolewa wakati mgomo wa madaktari unaendela pia kutekwa na...
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la mtanzania tena front page!
Na ilo tukio limetokea hospitali ya Amana dsm.
MY TAKE
Hawa watu wanapenda waendelee na mgomo ila hawataki julikana kuwa ni akina...
Akina lissu na joseph mbilinyi wanakomalia kwamba serikali imeleta janjaweed nchini kutekeleza mauaji na mateso kama yale aliyofanyiwa dokta ulimboka. Mheshimiwa mwenyekiti wa bunge aliwapa jibu...
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kwenda kujipumzisha siku za weekend na kupoteza muda bar ya kimboka na club ginevva inayokesha mpaka asubuhi zimefungiwa kutokana na
1.wizi wa nje nje uliokuwa...
Sasa ni official hawa jamaa madaktari bingwa wagoma, amesema eet, hawawez kuendelea na kazi kwa kua hawana wasaidizi. Ni hatari sana.
Mimi ni Mzalendo bado.
SOURCE: ITV
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka...
Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na...
Ndugu wana Jf
Naomba kuuliza huenda nyie mmepata kuelewa ili mnitoe sintofahamu niliyonayo. Kwenye vyombo vya habari kuna tangazo linalihamasisha wananchi kujiandikisha juu ya vitambulisho vya...
matatizo mengi sana hutokea pindi bunge linapokuwa chini ya wenyeviti,tuliona kwa Zungu,jana tumeona kwa (simjui jina lake) .....je kunasifa gani kumpata mwenyekiti wa bunge?
Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu...
Swali la mh mnyaa kwa wizara ya habari ilikuwa ni kutaka kujua kama serikali inacho chombo kinachoratibu mijadala na hoja zinazotolewa na vyombo vya habari nchini na kutaka serikali kuwasilisha...
wakazi wa mji wa mlandizi wako kwenye mateso makubwa ya kukosa maji kwa muda mrefu sasa takriban mwezi sasa tangu aliyekuwa meneja wa dawasco hapa mlandizi atoroke na familia yake kukimbia tuhuma...
nninasikitishwa na waratibu wa shughuli mbalimbali za serikali.sinautaalamu sana na mambo ya takwimu ila je huu uhakki unaofanywa na hawa watu wa vitambulisho vya taifa na ule uhakiki utakao...