Naunga mkono mgomo wa madokta, haiwezekani MNH ikose diclopar

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Ukisikiliza vyombo vya habari vya CCM na hotuba ya mh rais aliyoitoa juzi kwa watz,utaamini kuwa madaktari wana dai moja tu kubwa;mishahara mikubwa!Huku ni kutublackmail na kutugombanisha wananchi na madokta!Naamini wapo watu ambao wanawaona madocs kama wasaliti.
Hata hivyo,jana pale Muhimbili nimethibitisha kuwa madoc wana madai mengi na mengi ni kwa manufaa yetu watza.Imagine,mgonjwa wangu aliandikiwa dawa
tatu,na kati ya hizo kulikuwa na diclopar,lkn haikupatikana.Sasa muhimbili inakosa diclopar,huko kwetu unategemea nn?
 
inamaana since mgomo uanze ujui madai ya msingi ya madocta na ukuunga mkono.....u cant be serious mkuu..
 
inamaana since mgomo uanze ujui madai ya msingi ya madocta na ukuunga mkono.....u cant be serious mkuu..

Nilikuwa najua mkuu,lkn sasa nimejionea mwenyewe.Si unajua vile tulikuwa tunakuwa indoctrinated na mutoto ya mukulima,na raisi wa Msoga?Kwamba madokta ni waroho;wanataka mshahara wa kumzidi hata rais!
 
Na wewe ukawaunga mkono,na mko wengi bendera fuata upepo.haya ulioyasikia jana ndio yanauzito wa kutupatia ghalika la mahosipitalini kwa sasa.

Hebu fikiri kwa makini tema ***** uliomezweshwa ndo ufikili kwa kina,ndugu yangu.
 
Dah! Sasa nadhani ndio muda wa kuwakamata hao madokta na kuwaweka ndani wote, yaani wiki iliyopita MNH wamechukua dawa kutoka MSD za kutumia mwezi mzima zikiwemo diclopar za kutosha,kama leo hazipo basi hapo hatuna watu tuna majambazi. Nadhani huu ni wakati wa serikali kufunga maduka binafsi ya dawa.
 
Back
Top Bottom