Mgomo wa madaktari:Daftari la maudhurio laibwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari:Daftari la maudhurio laibwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Jul 3, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii habari inapatikana kwenye gazeti la mtanzania tena front page!
  Na ilo tukio limetokea hospitali ya Amana dsm.
  MY TAKE
  Hawa watu wanapenda waendelee na mgomo ila hawataki julikana kuwa ni akina nani wanagoma!
  Which means pia kuna uwezekano wa kuendelea na kazi ila kwa ufanisi mdogo bse dhamira yao ni kugoma ila wanalazimika tuu kwa ajili ya kuganga njaa!
  Wito wangu kwa serikali sidhani kama hili ni la kutumia mabavu kaeni na madr mlisuluhishe ili watanzania wasio na hatia wanaangamia.
   
Loading...