Madaktari m'mala walazimishwa kufanya kazi chini ya ulinzi wa polisi/usalama wa taifa

gabatha

Senior Member
Apr 6, 2012
127
52
Kuna habari kuwa madk wa hospitali tajwa wanalazimishwa kufanya kazi baada ya kusign na mapolisi waliokuja hpo.ukiondoka baada ya kusign unakamatwa, wamekuja na defender kama tatu hv. source; madk wenyewe
 
It is against medical ethics to practice under stress. Ndiyo maana Dr haruhusiwi kujitibu yeye au ndugu zake wa karibu
 
Back
Top Bottom