Rushwa, rushwa inaipeleka tanzania kubaya

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Rushwa adui wa utu na haki ya mwanadamu. Ndungu wana JF, Tanzania tuliyo nayo leo, matatizo mengi ya kimsingi, chimbuko lake ni moja tu RUSHWA. Nchi inapoelekea ni pabaya mno. Kaburu , Mwiindi ndiyo wenye sauti ndani ya nchi hii. Raia na mzalendo wa nchi hii amebaki kuwa mnyanywaswaji.

Ombi langu kwenu wana JF, mnafikiri ni nini njia thabiti ya kuliponguza tatizo hili walau kwa asilimia 30%. Kuepo kwa Rushwa kuna didimiza utu, utashi wa wanachi wengi hasa wa kada ya chini.
 
nikweli tatizo lipo tena kubwa kiasi cha kutisha, mm nadhana tatizo hili ni kubwa kuliko unavyoliona wewe, anyway kulipungaza kunagharama kubwa sana kwa sababu hata taasisi ya kupambana na rushwa inalalamikiwa kuhusika na rushwa. Achana na hayo viongozi wa kuchaguliwa ambao ndiyo wanadhamana kubwa ya kusimamia serikali wanachaguliwa kwa rushwa! Rushwa ni mgen tuliyemkaribisha angali tukijua madhala yake sasa amekuwa mwenyeji tutamtoaje? Labda kwa maombi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom