Mwenyekiti wa bunge azidiwa kete na akina Lissu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa bunge azidiwa kete na akina Lissu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jul 2, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akina lissu na joseph mbilinyi wanakomalia kwamba serikali imeleta janjaweed nchini kutekeleza mauaji na mateso kama yale aliyofanyiwa dokta ulimboka. Mheshimiwa mwenyekiti wa bunge aliwapa jibu moja tu,"nimegundua kitu kimoja,jana magazeti yote nchini front pages zao zilijaa habari za mnyika,kwa hiyo hata wewe lissu na mbilinyi hamna jipya zaidi ya kutafuta umaarufu kama aliopata mnyika jana",mwisho wa kunukuu.
   
 2. Ticha

  Ticha Senior Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sugu aende shule bwana anatuaibisha,

  anaongeaongea bila mpangilio

  mwanahiphop wa nguvu,mpaka mizuka inampanda

  je lisu ameruhusiwa au kamchunia
   
 3. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  huyu mwenyekiti wa wapi?? mbona hanaonekana ana upeo mdogo sana?? natumai angeruhusu serikali ijibu hoja na si kumshambulia mtu kwani ata mtoa hoja hajamshambulia yeyote na kwa lolote. hiyo ni wazi magamba wanalindana kwa majibu dhaifu na yasokuwa na mashiko.
   
 4. Ticha

  Ticha Senior Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenyekiti bado hajafundishwa vizuri namna ya kutetea chama chetu
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,407
  Likes Received: 3,859
  Trophy Points: 280
  Wewe ni kichaa, hujui hata Sugu kaongea nini unakurupuka tu. Sasa nashindwa kuelewa wewe ni ticha wa nini, ungejiita kahaba ingesound sana. Tunaoangalia bunge tumeona Sugu amemwaga point nzuri sana za kuboresha utawala bora nchini.
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Easy down pal!
   
 7. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,807
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  anakuaibisha wewe na nani??
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naona mheshimiwa mbunge eng.stella manyanya anadiriki kusema wale watu waliokuwa wakimtesa dr.ulimboka walivalia magwanda ya chadema.
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,539
  Likes Received: 8,277
  Trophy Points: 280
  acha upuuzi unalaumu waka tv hujaangalia. Kwa taarifa yako sugu ndio amewasha moto hadi mama yako stela manyanya kujichanganya.
   
 10. pixel

  pixel JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 1,628
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona sijakuelewa TICHA?sugu aende shule kivipi?epuka utumwa wa mawazo mkuu!wewe ndo hujaenda shule ndo maana hujaelewa.Sugu aliongea point tupu na hakukosea hata neno moja la kingereza,mimi niliangalia live tbc.
   
 11. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 809
  Likes Received: 757
  Trophy Points: 180
  ticha acha kufikiri kwa kutumia masaburi concussion, unaitaji upatiwe dozi ya kukutibu nayo ni M4C kutwa mara 3  KUPENDA CCM NI KUPENDA LAANA
   
 12. l

  lubagash Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 15
  usalama wa taifa ungekuwa ule wa enzi za maana ungemhoji huyu mama yey alikuwa na taarifa na anakiri kuona waliomtesa Dr. walivaa magwanda.
   
 13. K

  KISWAHILI Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa manaibu spika wanapiga 'tempo' nn!
   
 14. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safii sanaaaaa sugu na lissu
   
 15. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 584
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  had kieleweke
   
Loading...