Kwa nini wanaume ni wengi katika shoo la Tanzania/ki-Afrika.? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanaume ni wengi katika shoo la Tanzania/ki-Afrika.?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donyongijape, Jul 5, 2012.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikiangalia shoo nyingi za wanamuziki za First world na kulinganisha na shoo zetu hapa TZ na Africa kwa ujumla.

  Kitu nilichogundua ni kwamba katika shoo za 'mbele' wanawake huwa wengi sana katika shoo..wanaume unatafuta. Hii ni kinyme na huku kwetu, wanaume huwa wengi zaidi na hivyo akina dada au wanawake wanakuwa wa kutafuta.. Hii pia ni case mpaka kwenye club za starehe za usiku. !

  Naomba mawazo yenu wadau, kwa nini hali iko hivi?
   
 2. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Tamaduni na nafasi ya mwanamke na mwanaume ktk jamii zetu inachangia sana
   
Loading...