Wafanyakazi wa baclays matatani:kwa kuiba pesa kwenye acc ya watu;bosi wenu kajiuzulu amchoki kuib | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa baclays matatani:kwa kuiba pesa kwenye acc ya watu;bosi wenu kajiuzulu amchoki kuib

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jul 5, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mwananchi ukurasa wa tatu/5jul
  naona kuna taarifa za wizi wa pesa za wateja doller 9000 na nyinginine 12,000 nyingine 13,000
  sipendi kusema wala kulalamika sana ila ni nyie wenyewe mlijiamuliamaisha haya kuishi kwa uwoga
  na maisha magumu mwisho mnaiba na kukamatwa
  nimejiuliza hivi karibun mabosi wenu walijiuzulu na kukimbia sasa nyie mnaendelea kuiba hata bosi wenu ajamaliza 40 jamani mnajiamini nini

  hivi kuna maana tena ya kuweka pesa baclays??
   
 2. d

  decruca JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yaani hii bank ni wezi toka siku nyingi, mi nilikuwa na acc sijui ipo au haipo nilishatoa pesa zangu siku nyingi!
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Barclays ipi mkuu? Barclays Tanzania au London? Maana kuna kasha najua inayoendelea Barclays london kutokana na report iliyokuwa imejaa udanganyifu kuwa submitted FSA kama sijakosea. Kwa hiyo unaweza kuona ni jinsi gani Barclays ilivyochafuka kila kona.

   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ni tamaa ya vitu vizuri. Naamini hawa ni vijana wa umri wa kati na wangependa kuwa na maisha yanayoendana na lifestyles za kisasa. Matokeo yake, busara inawekwa masaburini na tamaa inawaongoza.
  Let them enjoy the juice of their own hell!
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  tanzania mkuu soma m wananchi yawezekana kuna nduguyo ukamtolee mdhamana najua wale mpaka watoke na polisi wamekula robo hasara walioiba
   
 6. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  mkuu pk
  uko 100% tamaa zaidi..nakumbuka huku mbezi beach kuna vijana wa hiyo bank walipiga pesa nzuri walivyo wajinga yaani mtu ulikuwa ukimpa lift baada ya mwezi unamkuta amenunua hammer..mwingine kapanga magari kama showroom siku wajanja wakawachoma mbona wengine wamewaachia magari polisi yapo pale central mengi kama kova amaeyaacha
   
 7. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Wamenikumbusha yule jamaa wa kimara mhasibu wa ile kampuni ya kenya wanauza blueband na mengineyo uniliver kama sikosei mungu ampe rehema aliko alienda kenya akapewa mchongoa jamaa wanatuma kiasi kadhaa alafu aruhusu zitoke then ziingie kwake wachukulie kwake..jamaa wakafanikiwa kutuma kiasi cha billion 2...akaanza kutoa kidogo kidogo alivyo mjinga kaenda showroom kanunua gari ndogo 2 fuso 4 cash akachkua madereva zikafwatana....zikapaki pale kwao...ukifika kimara ulzia huyu kijana ...alikuwa kwao wa kawaida kabisa...jamaa wanaataka magao wao anadai azijatoka bado mara akawamaliza kuwaambia watulie kuna jamaa wanazifwatilia wakati wao nao wana mtu kule bank anawaambia jamaa mbona kashatoa million 700....akiwa na landacruiser ametoka kununua siku 3 anaingia nyumban jamaa awakuwa na ajizi wakamwomba ashuke akakataa wakampiga shaba ya kichwa akaomba jaman kesho zinatoka anwapa hela zenu wakamwambia zibaki huko huko wakachukua rooho akaishia kufia kwenye geti lake na magari yake ndugu wakaishia kulogana wengine wamekufa kama kuku wa kideri ...ndugu zanguni tuwe na kipimo tushukuru kianchokuja oooohh
   
Loading...