Nini jukumu la mabenki ktk kuinua maisha ya watz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini jukumu la mabenki ktk kuinua maisha ya watz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masulupwete, Jul 5, 2012.

 1. Masulupwete

  Masulupwete JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Jana jioni nilikuwa nafatilia idhaa ya kiswahili ya bbc wakiongelea mchango wa mabenki katika kuinua maisha ya mtu wa kawaida. Binafsi nilichokipata kwenye majadiliano hayo yaliyohusisha wafanyabiashara na wataalam akiwemo prof.lipumba ni;

  1.Mabenki yanatoza RIBA KUBWA SANA kwa mikopo wanayotoa, licha ya kuwa bado watahitaji mkopaji kuwa na DHAMANA kwa huo mkopo anaochukua.
  2.Mabenki yanatoa RIBA NDOGO SANA kwa wateja wanaoweka pesa ktk benki.
  3.Kama si LAZIMA au una njia mbadala wa kupata pesa ni bora USIKOPE KABISA.

  Kama hayo yaliyosemwa hapo juu yana ukweli, nini sasa KAZI YA MABENKI tuliyonayo?
   
Loading...