Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania akutwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa Marekani-Texas tumboni kwake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGOGO CHINAVACH, Jul 4, 2012.

 1. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Bush IAH passenger accused of ingesting more than 100 pellets of heroin
  HOUSTON-A Tanzanian man has been indicted for allegedly ingesting more than 100 pellets of heroin while traveling to the United States.
  Bryan Mukama Hans, 30, was arrested on June 3 as he arrived at Bush Intercontinental Airport. He is accused of possessing one kilogram or more of heroin with intent to distribute.
  According to investigators, Hans arrived at IAH and applied for admission to the U.S. with a tourism visa. He allegedly told customs officers that he had arrived for a family reunion in Utah, but his reservations did not show any travel from Houston to Utah.
  Agents said they uncovered several inconsistencies in his statements and observed physical behavior consistent with deception.
  Hans consented to an X-ray of his abdomen and was transported to the Northwest Medical Center where he allegedly passed 22 plastic-wrapped pellets from his body.
  One was tested and revealed the presence of heroin.
  Hans remained in medical care until he passed all pellets from his body and remains in police custody pending further criminal proceedings.


  N.B
  hii habari nimeandika kwa kifupi kama unataka kujua zaidi pitia hapa [FONT=&amp]Source: [/FONT][FONT=&amp]http://www.khou.com/news/crime/Man-accused-of-ingesting-more-than-100-pellets-of-heroin-while-traveling-to-US[/FONT]
   
 2. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  Dahh jamaaa karuka kutoka kwenye ndege katua kwenye jiwe wakati alidhani baharini. too bad homie :spy:
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  He is toast.
   
 4. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,221
  Trophy Points: 280
  Mkuu habari inasema amekutwa na more than 100 pellets. Kwa Hilo jina lake sitashangaa kusikia hiyo passport amenunua. Bush Intercontinental Airpot Housto (Bush IAH) iko Houston,Tx.....ukisema Texas-Marekani ni sawa na kusema Tanzania-Afrika. Alikamatwa akiwa anaingia Marekani,na sio akiwa anarudi Kama ulivyowakilisha. Hizo pellets 22 alikuwa ameshazitoa kwa njia ya haja kubwa....lakini anasadikiwa kuwa na zaidi ya pellets (Kete) 100.

  Mkuu Ngogo nakupongeza kwa kutupa habari...Ila nashauri uzingatie ukweli na Chanzo cha habari. Maana kama tunaelimisha au kutoa habari kwa UMMA inapaswa tuzingatie weledi na ukweli wa taarifa ya habari.
  Huo ni ushauri wangu na nimeutoa kwa upole na utulivu wa hali ya juu..bila kutumia Sauti ya ukali.
  Nawakilisha.
   
 5. D

  Daniel poul Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du jamaa ana bahati mbaya angefanikiwa kutoka na mzigo alikuwa yuko pazuri?nikwamba wachache wanapatikana.
   
Loading...