mtihani kwa mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtihani kwa mnyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nunge boya, Jul 3, 2012.

 1. n

  nunge boya Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama siyo nchemba ina maana serikali itabidi imtaje hapo ndio unabaki mtihani kwa ccm na serikali yake sio mnyika
   
 3. R

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,991
  Likes Received: 2,266
  Trophy Points: 280
  Huo ndo mtihani mkuu?
   
 4. drmkumba

  drmkumba Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mnyika ni mtu makini sana hawezi kosa uthibitisho wa hilo.
   
 5. PAMBA1

  PAMBA1 Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyika ushahidi anawo tena zaidi ya mnavyofikilia.
   
 6. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,137
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Siasa za Angaisha bw.eg.e zitawakomaza mishipa bureee,wanajuana hawa wanachofanya ni zuga tu pigen kaza kuufurusha umaskin,Siku anafumaniwa Simbachawene,wabunge wote wa cdm walokuwa pale hotelin walikuwa wanapombeka hotelin kwa Hisani Simabchawene tena wamekiri wenyewe kuwa walipewa Ofa je waliuliza chanzo cha mapato kabla ya kufakamia KIlaji?.
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,677
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Daa kumbe huyu mzizi ni fisadi afu alifoji vyeti,. Da migulu unatisha je ukifika miaka 50 si utakua na dhambi zaidi ya shetani
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  jaman hata mimi nilishanga alikuja tegeta akatoa msaada wa mapikipiki kwa vijana wa tegeta pale na vijana wakachukua hizo pikipiki kumbe pesa kaiba kutoka bank kuu aise anatisha
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,318
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Ala!! ... kumbe kweli eeh?
   
 10. b

  betty marandu JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Hii kali.Mtu anayepewa ofa kuanza kumhoji mtoa pesa eti wewe hela hizi umepataje?wanamjua kabisa ni mbunge na ni naibu waziri ss jaman s kituko.hela ufisadi kama ni ndogo kama hiyo yaofa yaani naamin hata haitofika laki madhara uake kwa taifa yasingekuwa makubwa.
   
 11. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,226
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  huyu mnyika tutamdharau muda si mrefu
   
 12. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  usimsemee subiri uone cku akipeleka huo ushahidi.
   
 13. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Una imani haba na CHADEMA wewe
   
 14. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ==========================================Wakati wa Lema watu walisema hivyo hivyo, baada ya ushaidi kupokelewa, spika aliukalia hadi leo!!!!!!!!!!!!!! Mh. Mnyika hata akiwa na huo ushahidi siyo lazima kuukabidhi, bali akahoji ni lini SHAHIDI zilizotanguliua kama hii ya kwake zitawekwa wazi.
   
 15. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Join Date : 3rd July 2012
  Posts : 6
  Rep Power : 302
  Likes Received 0
  Likes Given 0


  Jf kuweni makini na watu hawa wanaojiunga siku hiyo hiyo na kuulizia mambo makubwa makubwa, wewe umetumwa, lakini kwa taarifa yako tu waambie data zote tunazo hata zile ambazo wanafikiri ni siri kwao zilishavuja siku nyingi, tulikuwa tunakusubiria tu kwenye corner. Imekula kwako, tutadhibitisha beyond reasonable doubt, kama kawaida yenu, spika atawalinda kwa kusema tuwasilishe kwa maandishi, kisha mtakaa na vielelezo kimyaa. Lakini siku yenu yaja.
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nna mashaka kama jamaa alipotoa tuhuma alikuwa amekula ndumu!
   
 17. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  umetumwa na nan mwenye imani haba wewe
   
 18. m

  mororo New Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja tusubiri tupewe ukweli wa mambo
   
 19. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  2005 alikuwa chuo,myika kakurupuka tu
   
 20. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,166
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Usimdharau Mwigulu Nchemba ??? umdharau Mnyika kweli wewe kipofu.
   
Loading...