Je Madaktari mmesitisha mgomo?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Tumesikia na kuona kwenye vyombo vya habari na hususani katika taarifa ya habari ya saa 2 ya ITV kuwa madaktari wamerudi kazini na kuonyeshwa picha wakiwa kazini. Tungependa kujua kutoka kwa madaktari:Je! Mmesitisha mgomo? Kama ndivyo, toeni basi tamko la kusitisha mgomo ili wananchi tuwe na imani na tuanze kuhudhuria hospitali kwa matibabu.
 
Tumesikia na kuona kwenye
vyombo vya habari na hususani katika taarifa ya habari ya saa 2 ya ITV
kuwa madaktari wamerudi kazini na kuonyeshwa picha wakiwa kazini.
Tungependa kujua kutoka kwa madaktari:Je! Mmesitisha mgomo? Kama ndivyo,
toeni basi tamko la kusitisha mgomo ili wananchi tuwe na imani na
tuanze kuhudhuria hospitali kwa matibabu.

Kwa sasa nipo wodini jaman sorry!
 
Sasa nimeamini Raisi kumbe ana nguvu sana, yaani katika hotuba yake ya kufunga mwezi alisema '..na asiyetaka kazi aache mwenyewe, asisubiri tumfukuze..' naona wamerudi kazini na wagonjwa wetu wanapona sasa.
 
Back
Top Bottom