Kazi kwetu wazazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi kwetu wazazi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jul 4, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Narudi zangu gheto namkuta mama mwenye nyumba analia kwa uchungu.Nilipomhoji kulikoni,akanijibu,"nilikuwa nataka kukagua madaftari ya huyu binti yangu wa darasa la saba,nikakutana na pakti za vidonge vya uzazi wa mpango". Binti yake ana umri wa miaka 12 na hiyo ilikuwa ni pakti yake ya nane kutumia.Alipohojiwa ni kwanini anatumia vidonge hivyo na ni nani kamfundisha,akajibu,"niliona tangazo kupitia TV na mpenzi wangu ndo alinishawishi nivitumie".Kazi tunayo wazazi.
   
 2. b

  bidada Senior Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmmm ndiyo kizazi cha teknolojia hiki......
   
Loading...