kwa nini watanzania wengi hukunya sura na kukaza misuli wanapoongea kiingereza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini watanzania wengi hukunya sura na kukaza misuli wanapoongea kiingereza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 5, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  watanzania tunajulikana ulimwenguni kwa kuongea sana bila vitendo lakini likifika suala la kutumia kiingereza kama lugha ya mawasilianao mambo huwa magumu...nakumbuka kunawabunge washawahi kupata kigugumizi kisa kiingereza...tatizo haswa huwa nini?
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu wakati wanaongea huwa wanajaribu kutumia maneno ya kiingereza kwa kiswahili na most of the time we tend to memorize things.

   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ulimi haujazoea!!
   
 4. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  Binti maringo uko sawa kabisa!
   
 5. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Inawezekana pia ni kutokana na ugwadu au uchachu uliopo kwenye lugha na maneno ya kengereza. Ni mtazamo wangu binafsi tu huu.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Uje umcheki m.kwe.re,dah!
   
 7. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  hukunya sura???? hivi sio matusi kweli??
   
 8. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  kutopenda kufanya mazoezi, niliishi UK na waswahili nikajifanya mbishi kubonga ng'eng'e , shule imekwisha nimerudi mkavuuuuu..kisa kupenda kuongea na waswahili wenzangu, na kukwepa wabriton
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kumbuka lugha yetu ya Taifa ni kiswahili na ndiyo tunayoitumia mda mwingi
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Bora useme wewe mtoa mada nae alikuwa anakunya wakati anaandika hii post teh teh teh wanyaji bwana..!
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hata wakati wa kufunga bao watu wengi hukunja sura!
   
 12. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  unamahanisha mpira wa miguu au ?
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  maneno yenyewe yanatisha!:nerd::nerd::nerd:
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mkuu lugha gani hii???
   
 15. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuongea kigreza ni mfumo KRISTO. . Pia sio lugha yetu
   
 16. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hii lugha wakati unaongea huwezi kukunja sura
   
 17. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Kiinglish hakitaki joto ndo maana!unaongea kidhungu kwenye joto na vumbi lazma sura uikunje na jasho la kwapani likuhusu!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hujui kuwa kiingereza ni wito?
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hapo tumeenda sawa mkuu, zis langwiji iz verevere! me i dont no!
   
 20. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nikiongea dakika tatu tu, nasikia njaaaaaaa
   
Loading...