Serikali tuwe makini na wakazi wa maghorofani Posta - NIDA

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Ni kuwa nimeshuhudia waandikaji wa NIDA hawaruhusiwi kugonga milango ya wakaazi wa maghorofani
huko Mjini kati a.k.a Posta. Wanachafanyiawa ni kuletewa photocopy za vijulisho kama vile
birth certificate, na mtu aliyetumwa ili kuvitumia kwa kuandikishia utambulisho.

Nawaomba sana wahusika eneo la Posta wasiachiwe watoto. Bali iwe ni task force ya uhakika ndiyo
ishughulikie eneo hilo. Ikumbukwe kuwa hawa wakaazi wa Posta wengi si watanzania.

Binafsi nilisha wahi kuona sehemu fulani, photocopy ikitumika kugeuzwa jina ktk cheti cha kuzaliwa
na cha shule.
 
Back
Top Bottom